kwa watu wanao amini mungu hawatochoka kuwazungumzia hawa jamaa(freemasons) hata kama si wote wanafanya yale ambayo mungu ameagiza tufanye na kuacha yale aliyokataza .Ndugu rejea itabu vitakatifu ususni biblia kwenye vitabu vya ufunuo na injili hawa watu wametabiriwa.Jaribu kuangalia matukio yote makubwa yanayogusa jamii duniani then compare na maandiko hapo utapata mwanga kwanini kila mtu freemason freemason ni kwa sababu ya hofu ya watu juu ya hawa jamaa kutuletea utawala wa lucifer waziwaz na kushurutisha .Kama nimeongea pumba sawa kwani LUTU na NOAH waliambiwa hivyo hivyo japo mi si nabii .FIGHT FOR YOUR EVERLASTING LIFE IN JESUS NAME.AMENyaani bongo bana,filimason,filimason! hivi hii singo bado inabamba!? teh,teh!
Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu,
Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja.
Alama aliyoionesha haina utofauti na hii ya George Bush Jr.
Sitaki kabisa kuamini kama ilikua ni bahati mbaya, maana Wema anaonekana kwa kudhamiria, amepozi kwa picha.
Na wala siamini kuwa alikua hajui anachofanya, maana habari hizi watanzania wengi twazijua sasa
"Mwenye macho haambiwi tazama"
Mbona hakuna jipya hapo?