Wema Sepetu anamdanganya nani!? Huu siyo Ulimbukeni?

[h=1]WOLPER ANYANG’ANYWA GARI[/h]

Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa ‘mkoko’ (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
Habari zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa anaitumia hapo awali sambamba na kutoka kwa kuvizia kukwepa watu wake wa karibu washitukie mchongo.
Katika kuhakikisha kuwa ukweli unajulikana Teentz.com iliamua kumsaka na baada ya kupatikana Wolper aligeuka mbongo na kudai kuwa hakuna jambo kama hilo isipokuwa kilichotokea ni kuwa gari limepata matatizo na ameamua kulipeleka ‘garage’.
Alipotakiwa kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage tene kwa siku tatu Wolper alisme hivi: “Bwana eeh wee jua liko ‘garage’ hayo maswali mengine mimi sitaki kuayasikia na kama una taka ugomvi endelea kuniuliza” alisema na

ndo nani huyo?
 
ndo nani huyo?
Usiwe na haraka tulia hapo hapo, humu wapo mascretary wao,
Ila tu nikuume sikio huyu nasikia eti alimchangia Sajuki akatibiwe India kiasi kama cha Millioni 15 kama sikosei, lakini tunaoona mbali tulijuwa tu hana ubavu huo na zaidi ni kujichoresha tu kwenye Familia zao maskini ambazo ziko hoi kiuchumi. (hapa nisieleweke kwamba sikupenda Sajuki achangiwe ).
 
Hayo ya WEMA ilikuwa ni kupeana UMAARUFU tu, na unaweza kuta watu wengi wanahusika hapo, mwenye kipindi ZAMARADI na hayo Magazeti wote ni wabia wamoja....!! Nyinyi manaumiza midomo yenu manake sasa hivi stori zilizopo ni nyumba ya wema, wenyewe wapo nyuma ya PAZIA wanacheka huku wanahesabu mishiko yao...!!
 
Matola kuna post kibao huwa nakuona unawaponda sana Clouds, af hy source ya JW kunyang'anyw gari umeitolea huko teentz.com ulienda kutafuta nini ka sio umbea wakati inamilikiwa na Clouds...
 
Last edited by a moderator:
Matola kuna post kibao huwa nakuona unawaponda sana Clouds, af hy source ya JW kunyang'anyw gari umeitolea huko teentz.com ulienda kutafuta nini ka sio umbea wakati inamilikiwa na Clouds...
+255 kwani Matola na yule sijui ***** gani si wambea tu, wewe huoni walivyokaa kipashkuna, yani wanaume wazima wamekalia umbea na kulazimisha mabaya yawapate watoto wa wenzao, ushahidi wenyewe ni magazeti ya udaku, basi huyo anayedai nyumba ni yake basi aje athibitishe kama wema alivyothibitisha ili kuondoa utata. Ila nina mpango wa kuwanunulia madera na mikate ileeee niwapatie wajistiri kwani naona uanaume wao una matata. Haiwezekani mwanaume mzima ulokamilika kutwa kuchwa wewe ni umbea tu na kushabikia matatizo ya watu tena wanawake. Lazima atakuwa na kasoro tena kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Wanawakke wa bongo wanapenda sana kuuza sura wanaishia kumegwa ovyo ovyo
 
Mrembo by Nature, sioni sababu ya kua unamtetea na kumpa sifa huyo Wema Sepetu, na kuhusu huo mjengo data za ule mjengo zitamwagwa hata documents zake, kama vipi mastaa wa Bongo movies potezea hasa mashori wengi ni wauza miili yao tu....
 
Last edited by a moderator:
Matola kuna post kibao huwa nakuona unawaponda sana Clouds, af hy source ya JW kunyang'anyw gari umeitolea huko teentz.com ulienda kutafuta nini ka sio umbea wakati inamilikiwa na Clouds...

Ishu ni ndogo sana...
kati ya Gang Chomba, Matola na wengine woote wanaomuunga mkono Matola ni waZi kuwa hawana chuki wala ugomvi na Wema wala Jaqueline wala hao Clouds.

Ishu iliyopo hapa ni kuwa watu tunaiheshimu sana JF na tunaitumia kama Sehemu yetu kuu ya kupata official news.

So mpumbavu mmoja anapokurupuka akiwa hajachamba huko na kisha anakuja kuweka habari then hataki apingwe wala ahojiwe huko ni kukosa akili.

Habari za Walper kuchangia milioni 15 ilikuja gundulika kuwa ni uongo.
Hii ya wema kununua nyumba nayo imegundulika kuwa ni uongo...then waliotuletea mada hii sasa wanageuka na kudai kuwa eti Matola, Gang na wengine wasioamini ushuzi wake eti tuna chuki na wema...

Jamani JF kuna majukwaa.
Hizo nyengine ni Jokes, nyengine ni Gossip...then kWa kuwafamisha ni kuwa kuna jukwaa special la mambo hayo, na sio kukurupuka tu na kuja mkiwa mna haja kubwa kwenye masaburi ya mchina hayo...

Puumbav
 
Last edited by a moderator:
Gang Chomba, Matola na wengine woote wanaomuunga mkono Matola, mbona mnamharibia Mrembo by Nature biashara? It ain't easy being a pimp. On a serious note, lazima hawa wanawake waanikwe hadharani . Watoto wa kike wasije wakawaiga wakidhania kuvipata hivy vitu ni kazi rahisi ya kupanuapanua.
 
Gang Chomba, Matola na wengine woote wanaomuunga mkono Matola, mbona mnamharibia Mrembo by Nature biashara? It ain't easy being a pimp. On a serious note, lazima hawa wanawake waanikwe hadharani . Watoto wa kike wasije wakawaiga wakidhania kuvipata hivy vitu ni kazi rahisi ya kupanuapanua.
Ndio kikubwa tunachokifanya hapa, hatutaki nchi yetu igeuke Taifa la wazembe ambapo ifikie mtu akijiona ana kauzuri fulani basi ndio mtaji na aamini kwamba ndio mtaji wa Maisha.

Kuna Wanawake wenye mvuto wa kimahaba wako Hot & sex kama Kim Kardashian lakini wanajituma na wanafanya kazi kwa bidii na wanatijirika si kwa sababu ya mbunye zao bali ni kwa kufanya kazi kwa bidii, hebu niulize swali hivi Lady Jide ana uzuri gani? si anapata mafanikio kwenye muziki kwa sababu ya kufanya kazi kwa bidii?
 
Back
Top Bottom