WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

wala hata cna undugu nae am trying to be realistic here! Hao wamagazeti ya udaku wanamfatilia sana dada wa wa2 coz wameshajua yeye akiwa kwnye front pages ndo magazeti yana uza zaidi!
Realistic kweli kweli...

Angetulizana na mwekundu wake wa msimbazi nani angemuandika?
 
wala hata cna undugu nae am trying to be realistic here! Hao wamagazeti ya udaku wanamfatilia sana dada wa wa2 coz wameshajua yeye akiwa kwnye front pages ndo magazeti yana uza zaidi!

C'mon now yaani Wema ndio anauza magazeti???for what????!!! Hao wengine kina Wolper sijui kinani wao hawauzi magazeti???? Be realistic to urself!
 
Wanamfuatilia au yeye ndiyo anajisababishia hizo attention? Nini kilimfanya anyanyuke na kwenda kumtuza Diamond kama siyo kutafuta attention? Kimbelembele chake kimemtokea puani. Ni heri tu angebaki kwenye meza kufurahia show na muke ya muzungu asiyeshevu kwapa.
 
Kwani wakisema anaringa yy atavunjika mguu???wameshasema mangapi mpaka sasa???!!! Mambo mengine anajitakia tu hamna loloteee.....ni ushamba na ulimbukeni.

hakuna aliye msafi neither me nor you,my point is 2sipende kujudge wa2 its too much!
 
wala hata cna undugu nae am trying to be realistic here! Hao wamagazeti ya udaku wanamfatilia sana dada wa wa2 coz wameshajua yeye akiwa kwnye front pages ndo magazeti yana uza zaidi!
Hehehehehe! Wanchekesha.
 
aisee huyu mwanadafada ataolewaga kweli?
YoYo watu wanatofautiana na sana, humu tu JF kuna mtu alishasema yeye pamoja na haya yoooote bado anatamani Wema awe mkewe

Utani au ukweli haijalishi maana wee unakiona cha nini wenzio wanajiuliza
watakipata lini
 
C'mon now yaani Wema ndio anauza magazeti???for what????!!! Hao wengine kina Wolper sijui kinani wao hawauzi magazeti???? Be realistic to urself!

kwani wolper hua haandikwi?juzi 2 nimemuona kwnye gazeti..
 
Wanamfuatilia au yeye ndiyo anajisababishia hizo attention? Nini kilimfanya anyanyuke na kwenda kumtuza Diamond kama siyo kutafuta attention? Kimbelembele chake kimemtokea puani. Ni heri tu angebaki kwenye meza kufurahia show na muke ya muzungu asiyeshevu kwapa.

mbona wengine hua wakienda kumtunza ha2semi?the problem 2mezoea kusema na kujudge wa2 ambao hata we are not related 2 them!
 
NN wala usijisumbue kumjibu mtu mzima na akili zake alieamua kwa makusudi kabisa kujifanya haelewi..
 
mbona wengine hua wakienda kumtunza ha2semi?the problem 2mezoea kusema na kujudge wa2 ambao hata we are not related 2 them!

Wengine wamewahi kutoka na Diamond? Wewe mtu mmeachana naye kwa drama kibao halafu bado unategemea ukienda mbele kumtunza itaishia kimya kimya tu? Where is her common sense?
 
Back
Top Bottom