Wema Sepetu alipotua Airport

tunaambiwa sasa yupo USA likizo tangu june 2010 akiandaa filamu yake (14 days); sijui akitua tena airport atapokelewa na nani na kwa namna ipi?
 
anachoniachaga hoi ni kimoja tu ata akonde kiasi gani uso mikono inakonda \ile bambataaa hata siku moja aipungu sijui anachambia amira anyway siri yake
yaani kuanzia kiuno mpaka vidolen kunabaki kama kulivyo
bg up wema

duu, hii kiboko
 
Duh naona jamaa anamscarf wa kufa mtu shingoni eheheh na joto la mjini hapa hmmm.
 
Mama yake Wema alisema 'hajaona bado wa kumuoa mwanaye hapa Tanzania'! Kuna mama huruma, sasa kuna mama Wema!!
 
wema1.jpg

Jamaa kashikilia "Nokia Toch"
 
this is worst,mambo gani anaoyesha jamii?she is a gal.and this is not our african culture
 
wema nae kazidi hivi akitulia atapungukiwa nini?ahhh she is cute ila tabia zake nazo mi hata sielewi ni laana au
 
Ila kwa kweli ni kinyaa mi naona maana ni kama watu wa class mbili tofauti, imekaa kama Tandale na Masaki vile:A S 13:
 
may i ask,hivyo katika haya ma beauty shows yanayoendelea tanzania kila siku,kuna washiriki ambao wameenda shule?au ni dropouts ndio wanaoshiriki?
 
@Golder unajua amerudi na mtoto cha kushangaza huyo mtoto naye ni mrembo sijui kama ni wa huyo mwanaume anayempunguzia mate hapo kwenye picha
 
@Son of Alaska --Wengi wao ni wale dropouts wachache waliendelea na shule kama Angela Damas na Silvia Bahame nadhani the rest ni wizi mtupu!!!
 
na huyo mtoto nyuma yao wanamfundisha nini? maana naona kama yuko darasa la sita B.
 
Back
Top Bottom