Wema sepetu aharibika

Kaka pole pole bwana....!

Masanilo,
Unaona sasa matatizo ya hawa akina dada Weusi? Kama ni hivyo, mtu si uchukue tu Mthungu aliyejiwekea UCHINA sehemu ya kukalia tu? Sasa huyu Wema huu weupe kaupata wapi kama si Mkorogo to power 3??

Mie ngoja nitafute Mwaarabu mchanganyiko. Hapa Sikonge wapo wachache, i hope ntapata kimoja. Kama nikikosa basi walau pale Tutuo kuna vitoto vya akina Koronzo na "Kibubunswa" ikiwa na maana ya Kichuguu .......

BTW: Masa, Wanzuki weekend ilikuwa bomba si kawaida. Ndiyo maana nilipotea hadi leo. Vipi huko Kyela mambo yalikuwagaje?
 
Hahahaha

Haya kaka wewe kamua ha hao waarabu....! Kyela hali imeanza kuwa shwari tuaanza kujiandaa na kilimo sasa mambo ya Kampeni tunaweka kando maana hata pesa imekuwa ngumu sana. Kwa kweli baadhi ya dada zetu wanajiharibu mno...ila kwa Wema inaweza kuwa habari nyingine. Yule mzee wa BOT aliye na Kesi nasikia sikia aliisha wahi jinafasi naye huyu mrembo wa Tanzania. Isije kuwa ni Kaposi Sarcoma kama alivyoainisha mtu hapo juu.
 
Madhara ya mizigo toka China ndo hii sasa.
Ila mrembo katumika mno nahisi itakuwa imechangia vipodozi kugonga mwamba

milleage ya kufa mtu, eti alikuwa miss tz, bongo bana halafu nahisi kuna kitu atakuwa anavuta..look at her, she is f...n wasted.
 
hilo donda litakuwa ni la tukutuku tu
aah wapi hamna cha tukutuku hilo donda la mguuni hapo ni kampata msela kapiga style ya mbuzi kagoma kwenda kwenye kapeti ndo matokeo ya huo mchubuko gotini
 
Huyu Dada anatumia vitu vikali na haramu. Kuingia kwenye madawa ni rahisi lakini kutoka ni ngoma nzito.
 
milleage ya kufa mtu, eti alikuwa miss tz, bongo bana halafu nahisi kuna kitu atakuwa anavuta..look at her, she is f...n wasted.

Party party party let's all get wasted.....shake it to me babygal do it buttnaked...I'm so wasted...she's so wasted...tell the bartender to send me 20 more cases....
 
Last edited:
MCHINA KIBOKO nadhani ndio anakupiga fake kila kitu, HIPS ZA SIKU CHACHE ALAFU MTU ANABONYEA KAMA FORONYANAOMBA KUULIZA NA MICHAEL JACKSON NAE ALIKUWA ANATUMIA HIZI ZA MCHINA
 
Si useme tu hapa na siye tuwaambie mananhii wetu? Tafadhali!

Subiri kwanza basi, nilishamfanyia first lady ataweka picha yake hapa mfanye tathmini.......

lol...mamsapu wako anatumia mkorogo Maamuna...mlete kwangu nina dawa yao mbadala..
 
Party party party let's all get wasted.....shake it to me babygal do it buttnaked...I'm so wasted...she's so wasted...tell the bartender to send me 20 cases....

Umecheck "flashback of a fool" ya Daniel Graigh....ile clip ya kwanza kabisa wakati movie inaanza, sasa inaonekana ndo maisha mapya ya dada zetu town.
 
mbonea mie nashangaa sana sijui huyo mtoto katumia mkorogo au hayo madawa ya kichina wanayosema hapo juu ,mungu anawaumba kwa uzuri kama tausi ila wanamkosoa
au kaligombana haka kadada kakadundwa maana nako mmh
Dada yangu, kudundwa gani atolewe michirizi iliyopitiliza ile ya utamu? Ni dawa tu nza wenzetu wa mbele da 1stLady, ha ha haa
 
They just photoshop dada wa watu na nyie mnakuwa fooled kirahisi tuu,ni rahisi sana kutengeneza picha kama hizo siku hizi!
 
Back
Top Bottom