Wema Sepetu adai kuwa mama yake amemtia aibu!

Lazima wema aongea humu,
mama alisema sana nilizani amekula dawa la kuondoa aibu,
hata ungekuwa wewe usingefurahi.

wangemalizana wenyewe private,kwa vyovyote vile,yule ni mama yake.sio kila kitu mpitie kwenye media
 
Mmh ivi uyu wema ana onaga raha sana ku andikwa magazetini au ni vp au ndo ivo *nikuandikwa magazetini sana na vp ana lipwa pesa au vp duh wema bna koh no say bna ndo vioo vetu vya jamii hivi tunavyo vikodolea mi macho duh all in all upu uzi tu huu wote walio ufanya.
 
Back
Top Bottom