Wema Sepetu adai kuwa "hana mpango wa kuolewa na mtanzania"

Jamani kalibia kila mtu humu ndani ni malaya!
Ndio nadiriki kusema hivyo sababu wengi wame na wana tembea na mtu zaidi ya 1!sasa mnapo mshambulia wema mbona nyie wenyewe sio wasafi???
Kweli nyani haoni kundulke!
 
utakuwa malaya mwenzie
 
Mi kwenye huu uzi nimeona point kubwa moja ya urafiki.

Huyu sijuhi snura alijipendekeza kwa Wema...ili aone labda nae ataonekana...kaona haijasaidia. Ameamua kumchafua mwenzie. Wema anasemwa vibaya na wa Tz wengi lakini yeye snura kama friend alitakiwa awe the last person kutoa comment kama hiyo.

Ila ndo ya asiyesikia la mkuu..Mama yake Wema si alishaga mwambia mwanae hapendi urafiki wake na Snura??? Ukubwa dawa.

Wasichana mi nawajua...ukiwazidi kidogo majority wanageuka wanafiki...na watafanya wawezalo kuhakikisha unaharbikiwa. Kama akili zako za kuazima ndio itakuwa ngumu kuujua huu unafiki wa marafiki wa kike.

nakuunga mkono kabisa, mi siamini kabisa kwenye urafiki
 
tena watakuchima na kukupamba as if wanakupenda kweli, ukiwapa tu mgongo tayari wanaanza kukusengenya. rafiki akupendae kwa dhati hawezi kukuanika hata kama kuna mahali mmetofautiana. wengi wa marafiki wapo kimaslahi zaidi. yupo nawe kwa kujua atanufaika na nini toka kwako.

akina mama huwa wana ona mbali sema tu huwa hatuelewi maana akili zinakuwa kama zimepumbazwa
 
Mi marafiki zangu urafiki unaishia ofisini...hata stori tunazopiga sana sana za magazeti ya shigongo...hakuna cha kutunziana siri.

nyumba kubwa, umeongea point, marafiki bwana, mie ninao lakini kwangu marfuku. Tunajuana huko huko barabarani lakini sio home.

Kuna mmoja amefanya kitu cha ajabu sana, nikagundua wadada sio wakati mwingine.
 
Umeona ee!!! Huyu naona ni attention seeker. Eti kila mtu Malaya...kama yeye ameamua kutangaza biashara humu asituhusishe na sie..tuna heshima zetu.

thibitisha vinginevyo ondoa upumbafu wako hapa,We kama ni malaya usidhani ni wote
 
nyumba kubwa, umeongea point, marafiki bwana, mie ninao lakini kwangu marfuku. Tunajuana huko huko barabarani lakini sio home.

Kuna mmoja amefanya kitu cha ajabu sana, nikagundua wadada sio wakati mwingine.

kongosho, kumbe sipo peke yangu! mi urafiki wangu ni wa mahali maalumu tu kama ni kazini, chuoni basi, lakini home kwangu no. wala sipendi kabisa eti kumwintroduce hubby kwa marafiki maana mh...

mara nyingi urafiki wa wadada huishia kuibiana wanaume tu(according to my experirnce).
 
Anatia huruma lakini ujue.

Huyu dada ana degree kubwa sana ya kuwa honest, no frankness ndio sahii(maana nadhani si honest). Haya anayosema ni wachache sana wangeyakiri adharani. Yangebaki kichwani mwake akaendelea kuyafanyia kazi kimya kimya...si tungeambulia suprise tu pale atakapotangaza ndoa na bilionea wa kipopo.

Jua limezama ndiyo anafunguka? Kachelewa.
 
Back
Top Bottom