WEMA SEPETU achoka na maisha

Kwa kweli Wema ni mzuri kama mtoto wa kike... problem yake ni kwamba anapenda mambo ya biology kuliko maelezo.

Kwa msiomfahamu Wema hana shida chapaa kiivyoi, yaani kama kuna choice kati ya msaliboko na na chapaa basi atachagua msaliboko.
 
My Friend ujiuji!
What do you gain from "WEMA'S UCHOVU"? Nimesoma thread moja ya jamaa alikuwa Kariakoo akadhulumika 10,000/= on the spot. Hilo jamaa lililodhulumu llina akili sana kuzidi aliyeanzisha thread kama hii. Kama WEMA kachoka, basi mawazo ya mwanzisha mada yamechoka mara kumi zaidi ya WEMA.
Kisichana ni kizuri mno, mimi mwenyewe naki-admire mno. Sasa kama nyie midomo ina makufuli, mnatanguliza prado na hela, lazima kichukuliwe hata na akina Kingwendu, ili mradi kianapata " REAL lLOVE". Yule mtoto siyo mshamaba, inabidi kumsoma vizuri. Yawezekana kabisa hahitaji Prado wala pesa. Mnamu-missapproach halafu akienda na wajanja mnaanza kupiga kelele kwenye majukwaa ya ulimwengu mzima. It doesn't compare kile unachodhani kuwa kakosea, na kitendo cha wewe ku-expose affairs za mtu kwenye jukwaa la ulimwengu mzima, anakuhusu nini wewe? Maisha yake yanaku-affect nini (negatively) wewe? Kama haku-affect, kwa nini wewe umwa-affect yeye?
 
Wakuu nisaidieni WEMA SEPETU ni nani?
Hivi ulikuwa wapi siku zote hizo kijana/mzee? Anyway, demu alikuwa miss Tz aliyeenda kuchemsha Miss world. Sifa za ziada, ni kugeuzwa chakula ya wasanii wa Bongo fleva akina Mr. Blue, TID na aliwahi kuwa na mahusiano na staa filamu za Bongo, Kanumba. Alipata kulazwa Jela segerea kwa kuvnja kioo cha mbele cha gari la Kanumba. Pia likuwa na skendo nyingine ya kujidunga unga. Alikuwa haambiliki kwa wazazi pamoja nakushauriwa atulize boli. FYI, demu ni mtoto wa mwanasiasa na balozi mstaafu wa TZ Marekani/UN, Ndg. Isaack Sepetu. Taarifa zaidi nenda kwenye wavuti ya magazeti ya Shigongo, www.globalpublishers.info type keyword Wema Sepetu kwenye search bar utapata full details alipotoka, alipokuwa, alipo sasa. Maana magazeti ya shigongo yalikuwa yanauza sana kupitia story za huyu dada.
 
asante mkuu
 
Duuh sijaambulia kitu! amechoka nn sasa au kafanyaje kuanza kumteremshia huu ushauri ambao hata nyie mkikaa nao utawasaidia zaidi pengine?!
 
Mathayo 7:6... Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe
lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije
wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka
na kuwararua. Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa
yasiyokuwa wana wa Israili. Ukristo haufai
kufundishwa watu wo wote isipokuwa
Mayahudi.
 
Mbona Yesu Yupo kwenye Quran??? We ni myahudi
 
Back
Top Bottom