Wema hauozi

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Mdada mmoja alipoteza pochi yake kwenye daladala! Jamaa mmoja muaminifu akamtafuta mpaka akampata! Yule dada alishukuru kila kitu kilikuwemo kasoro moja tu
MDADA; huku kulikuwa na laki,lakini noti zote za kumi kumi,lakini sasa noti ni za mbilimbili
JAMAA;ni kweli,mara ya mwisho nilipookota pochi nikamrudishia mwenye nayo akasema hana chenji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom