Wema, diamond wanaswa kigoma

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=3][/h]
Nasib Abdul Juma ‘Diamond’.

STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu na kichwa kinachotingisha katika Bongo Fleva, Nasib Abdul Juma ‘Diamond’ wamenaswa wakiwa beneti mkoani Kigoma, Ijumaa lina data kamili.
Chanzo makini kilichopo mkoani humo, kimepenyeza habari hiyo kwa paparazi wetu kwa njia ya simu juzi, ambapo kilisema ukaribu wao uliamsha hisia kwamba huenda wawili hao wamerudiana.
“Wapo wote huku Kigoma, kwa Diamond ni sawa maana yupo na wasanii wenzake wa Kigoma All Stars, sasa Wema amekujaje? Kwanza siyo mwanamuziki, lakini pia siyo mtu wa Kigoma ni wa kutoka Tabora,” kilieleza chanzo hicho.
KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
Kwani hawa malimbukeni wakirudiana kosa liko wapi wakati wote ni open cheques? Kinachosikitisha ni kwamba vijana hawa wameuvaa ulimbukeni kiasi cha kusahau kuwa kuna kesho. Utoto mwingine!
 
Kwani wapendanao wakirudiana kuna tabu gani? Hivi hujawahi kusikia watu wametalikiana halafu wanaamua kurudiana na kufunga ndoa upya? Elizabeth Tailor aliolewa mara 7 na kati ya hizo zilikua ndoa mbili na watalaka wake kwa wakati tofautitofauti. Ndiyo habari za mastaa hizo!!
 
Mimi Nimeipenda hii

2.jpg
 
[h=3][/h]
Nasib Abdul Juma ‘Diamond’.

STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu na kichwa kinachotingisha katika Bongo Fleva, Nasib Abdul Juma ‘Diamond’ wamenaswa wakiwa beneti mkoani Kigoma, Ijumaa lina data kamili.
Chanzo makini kilichopo mkoani humo, kimepenyeza habari hiyo kwa paparazi wetu kwa njia ya simu juzi, ambapo kilisema ukaribu wao uliamsha hisia kwamba huenda wawili hao wamerudiana.
“Wapo wote huku Kigoma, kwa Diamond ni sawa maana yupo na wasanii wenzake wa Kigoma All Stars,sasa Wema amekujaje? Kwanza siyo mwanamuziki, lakini pia siyo mtu wa Kigoma ni wa kutoka Tabora,” kilieleza chanzo hicho.
KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
jamani kwani kuna tatizo ukiwa mtu wa Tabora ukaonekana Kigoma?????zito wa Kigoma yupo Dodoma,Bashe msomali yupo DAR,RAGE MSOMALI YUPO DODOMA,KINANA MU-ETHIOPIA YUPO TANZANIA,,,,,,
wema kuonekana kigoma si jambo la ajabu mdau
 
Mwacheni mtoto wa tandale afaidi bhana!kha! wakati anauza genge la nyanya alikua hapati vi2 kama hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom