Wema akimbia studio Live EATV!

wale watangazaji wamechemsha sana...! tena ni unprofessional to do that, she is a public figure tena ameenda na meneja wake ambae ndio msemaji wa kila kitu! na alipoingia akatoa angalizo mapema kwamba kilichompeleka pale si kuongea habari za diamond na hayuko tayari kuzungumzia hilo
Wale nao muda wote wanaupoteza kwa kumlazimisha kujibu hayo maswali mpaka mtu anabadilika, anaanza kuwa mkali,anatoa mic akaamua kusepa....huu ni upumbavu ningekua bosi wao leo wangeona,

Well said! I couldn't agree more with you. Thanks
 
wale watangazaji wamechemsha sana...! tena ni unprofessional to do that, she is a public figure tena ameenda na meneja wake ambae ndio msemaji wa kila kitu! na alipoingia akatoa angalizo mapema kwamba kilichompeleka pale si kuongea habari za diamond na hayuko tayari kuzungumzia hilo
Wale nao muda wote wanaupoteza kwa kumlazimisha kujibu hayo maswali mpaka mtu anabadilika, anaanza kuwa mkali,anatoa mic akaamua kusepa....huu ni upumbavu ningekua bosi wao leo wangeona,


kwani alikwenda kufanya nini?
 
wale presenters nao ni wajinga we unamlasimisha m2 kuongea ki2 ambacho hapendi kukiongelea hasa huyu wa kiume (samu misifa)
 
we badala ya kuuliza maswali ya msingi unaanza unaanza kuleta sifa tena sifa za kijinga umejiaibisha we na yeye na kipindi chako
 
Hata mi nimeona ila the way walivyokuwa wanamhoji hata mimi sijafurahia ni kama vile wanashabikia na kale katangazaji kakafika mbali zaidi kakaanza kumshika shika maskio hata ingekuwa wewe lazima ungekula kona

Wana JF,

Mmoja ya yote ingawa tuna msiba, Ila nacho taka kusema kuwa ukisha kuwa superstar inakubidi kuwa makini sana cha ajabu wema nae hakujua jinsi gani ya kucheza na Media na mbaya zaidi alipo kuja na yule kijana na kusema ati ni Manager wake since when Super Star mwenzio ni Manager wa Superstar hii haiingii akilini mwa watu Huyo aliye jiita Manager ndie alie mpotosha wema kwanza kabisa hakusoma alama za nyakati za wema ali mkalilisha maneno tuuu na ndio hayo wema akawa anasema ati manager wangu kaniambia ni sisema hilii Manager hakumfundisha wema ni jinsi gani ya kuji present ka TV na watu wamwelewe na ni jinsi gani ya kukwepa swali na ni jinsi gani ya ku control Temper yake, huyo ni manager gani Wema ana hasira za hapo na hilo ndilo jibu kwa watazamaji kuwa yeye ni mtu wa kivingine kabisa anafanya mambo kumbe hawezi kuyahimili kwa Public live anapenda story za magazetini tuuu.

wema kama kiio cha Jamiii jana alichemka nae hata kama uliulizwa swali la kiuchokozi escape swali kwa mtindo mwingine na sio kwa kukasilika na kuvua mic tupa huko ondoka na mijaziba tayari pale twisha mwelea wazi kuwa haimili kishindo kwa yale anayo yafanya nyuma ya pazia hawezi yaweka hadharani kama lilikuwa ni kusudio lake

My Take;

Super star yeyote yule awaye asithubutu kuwa na super star mwenzie ati awe Manager wake huo ni uongo huo wasijidanganye ndio ya wema sasa.

Ma Manager wa Ma super star wetu nanyi muwe na akili kumkichwa msikurupuke tuu mkadhani kuwa manager ni jambo rahisi pia superstar anatakiwa kuwa na mshauri na sio Manager kwenda nae live TV show

 
wale presenters nao ni wajinga we unamlasimisha m2 kuongea ki2 ambacho hapendi kukiongelea hasa huyu wa kiume (samu misifa)

Mkuu me sikatai kuwa chaliii ali kamia swali kwa wema ila kwa hali halisi me navyojua ukiiingia studio au kwenye interview we mlengwa 1st teka mazingira yale yote kuanzia wanao kuhoji na TV wanao kuangalia sasa wema alipo banwa kwa yale maswali ambayo hakuyataka kuyajibu yeye akaanza sema ooooh Manager kaniambia hivi njiani kumbe wema hakujijua kuwa hana uwezo wa ku control temper yajapo maswali ya kimaudhi na Manager wake ambae ni modal ati ni manager hili nyie hamkuliona ni kasoro au,? since when Super star anakuwa na Manager ambae na yeye ni Super star na huyo Manager super star manager wake ni yupi?? au ana manager Super star pia.

Na kama kulikuwa na Makosa yet wema kama kioo cha jamii alikuwa awe na upeo wa kulikwepa swali kinamna vingine, kwali ilivyo kuwa mmmmh na kukimbia live TV tayari kaharibu specs zake, ange waambia tuu hebu tuendelee na maswali mengine huki nikiwa natafakari kuwajibu hilo swali na angecheza na muda mpaka kipindi kinaisha na anawapa ahadi next time then next time hatokei au anakuja kajipanga vyema period.

My Take;

She should have her self checked

 
kiukweli wakuu, kale kapresenter kama hakapo sawa vile, mtu alishaongea mapema kwamba hataongelea holo maana kaliongelea sana, na ni kweli! sasa kwasababu fans wake na kenyewe wanataka Wema aongee kitu fulani basi Wema aongee? naona wamemfanya Wema kama debe ambalo wakiamua kulipiga basi litoe sauti wanazozitaka! presenter wa ile shoo alikuwaga Jimmy bwana!
 
huyu misago naye **** kweli..wema kaenda kuuza muvi yake mpya alafu jamaa yeye kakazia kuchanganyia habari za ajabu ajabu...
 
Back
Top Bottom