Well done nnape!

WILLY GAMBA

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
211
87
Kwa mara ya kwanza nimeanza kukuelewa kdg,...hayo ma equation uliyo watupia si ya kitoto ( kuwatosa NEC ),mpaka wakifanikiwa kuyafungua ma braket itakuwa tuuleiit na uchaguzi wenu umeshapita.
Wasi wasi wangu angalia sasa wanaweza kutumia lile zao kuu la Satta (King Cobra) kukupa break maana umeongea sana!
 
Tatizo la Nape ni kutoka shule na kukimbilia moja kwa moja kwenye siasa kuna mambo kibao ambayo ukiwa umetumia muda
kwenye sekta binafsi angalau kwa miaka kumi unakuwa umejifunza mojawapo ni kutokufanya mambo kwa kukurupuka kama kuanza kutoa notisi za siku tisini wakati ukiwa huna uwezo wa kutekeleza. binafsi naamini kuwa huwezi kuwa mwanasiasa mzuri kama you have never run anything successful in your life.
 
Nape hata mimi kuna wakati nampongeza kwani kama ni vitani adui anafanikiwa kwa sababu huwezi kwenda vitani na vuvuzela.

Nape amejifunza siasa za chama kimoja za kina tambalizeni.

Hizi ni siasa za vyama vingi,watu wamefunguka macho ukitaka kuwaambia hii ni rangi nyekundu hakikisha ni nyekundu kweli,tofauti na hivyo inakula kwako.sasa hivi ni siasa za ki dot com.
 
utapambanaje na mafisadi wakati mwenyewe aliyekuchagua ni fisadi.Litakuwa ajabu la dunia mbwa kumng'ata boss wake.Nape acha huo utapeli wa kisiasa.
 
kwa ufupi Nape anapaswa kutambua kuwa ni vizuri kumfahamu mpiga ngoma kabla kuanza kuicheza......

but the reforms are not really bad!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom