Welcome to ajira.org

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
Habari za kazi wakuu, nimefungua site hii kwa ajiri ya kuwa inspire watu wanaotafuta kazi kwa namna mbali mbali, ikiwemo tips za interview, jinsi ya kuandika CV nzuri, motivational letter etc.

Pia natarajia kuwa na sehem ya kutoa taarifa mbali mbali kwa wafanyakazi zikiwemo haki mbali mbali za wafanyakazi kwa waajiri na hatua ya kuchukua unapofukuzwa kazi, mikataba ya ajira etc.

Kwa kifupi ni inspirational blog lakini pia ina links mbali mbali kwa blogs na site zinazotangaza nafasi za kazi Tanzania.

I will appreciate your comments in this, na chochote cha kushauri either kuongeza au kupunguza.

Stay blessed guys.

Site: www.ajira.org

UPDATES:

Our site is now FORUM,
Please visit, register and CONTRIBUTE!!

Natanguliza Shukrani.

http://www.ajira.org
 
Tumeibadili blog hii kuwa forum, karibuni sana na mtupatie mawazo yenu.
 
Back
Top Bottom