With THIS!! I would have to agree he is BACK! Hopefully for good....
Nice background sound, and an OK Video... Nimependa the Bridge part of the song.
hehehe nimependa kila kitu kasoro kitambi.afanye mazoezi abaki na six pack lol sijui kavaa msinglend wa nini na yeye ana kitambi lol
hehehe nimependa kila kitu kasoro kitambi.afanye mazoezi abaki na six pack lol sijui kavaa msinglend wa nini na yeye ana kitambi lol
Ni kweli.
Ukishaamua kuwa mwanamuziki, kwa kiasi fulani unauza image.
Apate washauri wazuri, wanaovaa vifulana ni wenye misuli ya kuvutia wachumba.
Wenye vitambi wajue hilo na kuliheshimu.
Mkuu umesema vyema sana,kuna vitu Solo anavyo hasa anapo rap kigumu na kwa lyrics mfano wa Vina utata huwezi kupata kwa yeyote! Solo kiboko bana!Ni kweli.
Ukishaamua kuwa mwanamuziki, kwa kiasi fulani unauza image.
Apate washauri wazuri, wanaovaa vifulana ni wenye misuli ya kuvutia wachumba.
Wenye vitambi wajue hilo na kuliheshimu.
Kwa wote watakaosema hayo ni superficiality, Solo anavutia zaidi akiflow Kiswahili kuliko Kiingereza. Kiingereza he is just another rapper. Kiswahili he is Solo Thang, the maestro lyricist.