WEKEZA SACCOS LTD imetapeli watu sana, vyombo vya dola vimekaa kimya

JE UMETAPELIWA NA WEKEZA SACCOS FUND??


  • Total voters
    1
  • Poll closed .

hans2014

Senior Member
Oct 4, 2014
112
99
Kuna jamaa wanajiita WEKEZA SACCOS LTD WAMETAPELI WATU SANA.
Jinsi wanavyofanya kuna saccoss inaitw WEZESHA MZAWA ipo ktk ofisi za GLOBAL PUBLISHER sinza wao WEZESHA MZAWA Ni halali wanatoa mikopo..sasa jamaa wa WEKEZA wanatumia address ya global publisher ukifika pale unaambiwa hao ni matapeli hawana ofisi hapa
Cha ajabu vyombo vya dola vipo kimya TCRA,POLISI
website ipo na wameipanga vizuri sana na pia wana namba ya tigopesa0712 203 791 utume pesa humo za akiba cha kushangaza imesajiliwa na tigo pesa kama wekeza saccos fund ukiwapigia TIGO wanasema hawajui au fika ofisini na watu wanaendelea kutapeliwa
TUNAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIFUATILIE SUALA HILI SIO KUKAMATA WANA SIASA TU
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    25.3 KB · Views: 144
  • image.jpg
    image.jpg
    459.1 KB · Views: 131
  • image.jpg
    image.jpg
    140.8 KB · Views: 130
WEZESHA MZAWA SACCOS kuweki makini watu wanatapeliwa kupitia mfumo wenu,aina ya maelezo yenu,address yenu,
Na je nyie GLOBAL PUBLISHER ni chombo cha habari kwa nini hamuwaandiki hawa matapeli?watu wengi wanakuja getini kwenu kuuliza WEKEZA SACCOS FUND na nyie ni WEZESHA MZAWA SACCOS FUND hamuoni watu watawatilia shaka??
image.jpg
 
Hatimae WEKEZA SACCOS FUND website imefungwa baada ya kuiripoti na baada ya kutapeli watanzania wengi
Maswali ya kujiuliza:-
1.JE NI TCRA NDIO WAMEIFUNGA?NA KAMA WAMEIFUNGA WANATOA MAELEZO GANI KWA WATANZANIA?
2.JE WEBSITE ILIFUNGULIWA NA NANI?SABABU TCRA HAWAWEZI KUTOA DOMAIN(DOTCOM)etc
3.SWALI KWA BWANA SHIGONGO MMILIKI WA GLOBAL PUBLISHER..WATU WANATAPELIWA KUPITIA ADDRES ZAKO NA AINA SAWA NA SACCOS YAKO "WEKEZA MZAWA"MBONA HAWA MATAPELI HUJAWAHI KUWAANDIKA KTK MAGAZETI YAKO?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom