Wekeza katika utalii

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Wanajamvi poleni kwa majukumu ya wiki nzima mpaka leo tunaianza wkend,naamini kwa wengine wkend huwa ndefu sana na wakati mwingine pia ikionekana ni fupi kupita maelezo kwa baadhi yetu..yote kwa yote tutakiane mapumziko mema

Sasa ndugu zangu leo nimeona niweke wazo hapa ambalo linatokana na swali nililowahi kuulizwa juu ya nafasi za kuwekeza kiutalii mkoani Kagera

Ni hivi,kama utaweza kawekeze katika kufungua duka kubwa la kisasa ufanye Kagera Cultural Heritage Gallery/Shop,watafute wachoraji&wachongaji wa Mwenge wakusaidie ama kuchora/kuchonga kwa ustadi vitu k.v,documentary na taharifa mbalimbali on Kagera war,MV Bkb&all abt it,Kardinali Rugambwa&all abt him,ukimaliza upande huu hamia

Weka dukani (ntatumia cultural names),esisha,obuhunge,ebibo,emwani zokulya,ebyanzi byokukamilamu ebyemiti,embugu,amachumu gempelege,ebishusi,ebilele n.k

Kuachia vitu kama hotel,bar,guests maeneo kama kisiwa cha musila nafikiri unaweza ukafanya pia hii na ukatoka,pia internet cafes bado ni hadimu,nimebahatika pia kuupata mpango wa mkoa wa economic vision kwanzia mwaka huu kweli umesimama,wenye pesa kazi kwenu na mafanikio mema.

Aliye na buku anitoe nikanunue kabia wakuu,tusaidiane jamani.
 
Dah?
Una wazo zuri, ila mpangilio wako haueleweki kabisa...

ijapokuwa ulitakiwa unioneshe wapi sijaflow vizuri ili niparekebishe lakini mpangilio lisiwe tatizo sana cha msingi kama umepata hilo wazo walau just do it,leo ni wkend jamani nimepitia kwa suka kidogo hata macho hayaoni vizuri

Kama uko poa nicheki kesho alafu tuone wapi turekebishe ili maisha yaende mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom