Wekeza inalipa Movie Launch.

DSE Tanzania

Member
Sep 20, 2013
27
10
Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa,
iliyoigizwa na wasanii wakali kutoka East Africa, yaani Kenya,Uganda,Rwanda, Burundi na Tanzania.

Hii habari imechapishwa na magazeti mengi siku ya leo.
unaweza kuona Trailer ya movie kwenye Youtube channel ya DSE
Wekeza Inalipa Movie Trailer. - YouTube

Matukio ya Picha kwenye Blog ya DSE
Dar es Salaam Stock Exchange: WEKEZA INALIPA MOVIE LAUNCH.
au kwenye ukurasa wa Facebook wa DSE
https://www.facebook.com/media/set/?set=a.242715672548555.1073741837.229537280533061&type=1


Vile vile baathi ya website ambazo zimeweka hii habari.
http://www.dailynews.co.tz/index.ph...launch-of-a-documentary-on-the-stock-exchange

http://www.habarileo.co.tz/index.ph...dk-mukangara-awataka-wasanii-kununua-hisa-dse

Tanzanian film makers challenged to spend wisely | In2EastAfrica – East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education

MICHUZI BLOG: Uzinduzi wa filamu ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa ununuzi wa HISA

THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG: Filamu iliyotengenezwa na Wasanii wa Nchi za Afrika Mashariki. kuhamasisha Jamii kununua Hisa Yazinduliwa jijini Dar.
 
Asante kwa taarifa, mimi ninapenda kuwekeza ila hapa nchini naona kama uwazi na uwajibikaji wa makampuni yanayouza hisa ni mdogo sana na vile wananchi wengi wananunua shares ambazo haziwawezeshi kuwa na maamuzi wala kuwa na taarifa muhimu za kampuni hizi mimi naona kununua hisa bado ni risk sana. Labda kupitia mwamko huu tutaelimishana zaidi. Asante
 
Ni movement nzur kwa ajili ya kupromote soko la hisa DSE. Ila ningeambiw nitoe pendekezo la jina la movie ningeliita tu "HISA" lingekuwa na swags na pia lingekuwa linafikisha ujumbe,lakin hata hivyo cyo mbaya sana.:):)

Mjitahid ili iweze kuoneshwa kwenye theatres ikibid.
 
Back
Top Bottom