Wekeni Resume (CV) za J Makamba, J Mnyika, Z Kabwe na L Nyarandu

aah wapi..bahti mbaya mie sio mdanganyika..endeleeni kudanganyana na siasa zenu.
Nyerere aliondoka na sh ngapi hata familia yake ikoje kwa sasa si hata watoto wake kina Makongoro si tunawaona angalia tofauti yake na wanasiasa wa kisasa watoto wao wako wapi na familia zao zikoje hakuna sababu ya kuwataja
 
Mwanasiasa halisi(i mean halisi) haangalii faida ya pesa kurudi mfukoni mwake anaagalia maendeleo ya wananchi wake kama barabara, hospitali, shule nk
Duh! ingekuwa hivi nafikiri hawa maprofesa na madaktari wangebaki vyuoni kufundisha, chakula kaka!
 
Nafikiri wengi hapa hatujui maana ya CV au resume wataalamu wanasema CV nzuri isizidi 2 pages A4 paper maana CV haiajiri mtu inasaidia kushort list applicants kinachoajiri ni interview inategemea jinsi utakavyojieleza unaweza ukawa na CV nzuri lakini ukafeli interview

Sasa kwenye CV ya page 2 sitegemei kama utaeleza achievemets zako zote za miaka 20 vinginevyo kitakuwa kitabu na ukiweka maelezo mengi kwenye CV interviewers wengi huwa hawasomi wanatupilia mbali

Mkuu yawezekana uko sahihi.

Lakini mimi nijuavyo CV inaendana nini ulichokifanya huko, kuhusu pages sina uhakika mie ninavyofahamu inatokana na elimu yako iko propotional na page za cv vivyo hivyo kwa mda wa kazi.

Nafikiri wanaondika page mbili ni watu wa vidato na wanaomaliza digrii ya awali.

Hebu chungulia cv ya huyu jamaa, japo sio sample nafikiri ndo hali halisi.

Hao unaosema wanachoka kusoma page kadhaa za cv, ni wavivu na huu ni uvivu wetu waafrika na ndio maana nafikiri na ndio maana tunapata wafanyakazi feki.

Unapoweka nini unakijuwa ktk cv na mafanikio ndio unampa mwajiri picha halisi na yeye kupata fursa kukuliza maswali kulingana na cv yako, hapo ndio atajuwa umedanganya ama la.
cheki hiyo attachment. japo nasisitiza sio sample lakini nafikiri ndivyo inatakiwa kuwa.
 
Attachments

  • cv.pdf
    160.7 KB · Views: 171

Haijalishi uwe na degree ngapi but
What makes a good CV?
A good CV should be:
  • targeted to the job you're applying for
  • simple, clear and concise - using no more than 2 easy to read fonts on plain white paper
  • short - 2 sides of A4 paper (possibly with an extra sheet for research publications if you have done a PhD). The CV shouldn't be bound
  • for design jobs, the CV could be creatively presented to showcase your work
  • free from spelling, grammatical and typing errors - give it to someone else to check
  • accompanied by a covering letter. The CV and covering letter should be in the same font, layout and on the same paper
What should you include?
A CV should normally contain the following information, but layout will vary depending on which information is most relevant.
  • Personal details: name, address, phone, date of birth, nationality (international students)​
  • Education: postgraduate study, first degree, school qualifications, listing the most recent first​
  • Work experience: relevant first, then other work experience - including unpaid​
  • Skills: computer literacy, driving licence, languages etc​
  • Extra-curricular activities: including student societies, sports teams​
  • Interests: including sports, hobbies​
  • References: personal tutor, employer, (voluntary work supervisory, work placement supervisor), project supervisor​
 
CV ni mhimu sana kwanye politics kwa nchi za wenzetu ni hot cake angalia Tony Blair, Brown, Obama, Hilary etc lakini kwa bongo inaonekana kama kiini macho wapiga kura wengine hawajui hata maana ya CV.

CV inayohitajika kwa Tanzania na namna mwanasiasa mtarajiwa ambavyo amewasaidia watanzania na kama katika maisha yake hana harufu ya ufisadi. Je mwanasiasa ana usafi gani wa kimaadili katika historia ya maisha yake? Ndicho kinachotakiwa kama CV
 
Haijalishi uwe na degree ngapi but
What makes a good CV?

A good CV should be:
  • targeted to the job you're applying for
  • simple, clear and concise - using no more than 2 easy to read fonts on plain white paper
  • short - 2 sides of A4 paper (possibly with an extra sheet for research publications if you have done a PhD). The CV shouldn't be bound
  • for design jobs, the CV could be creatively presented to showcase your work
  • free from spelling, grammatical and typing errors - give it to someone else to check
  • accompanied by a covering letter. The CV and covering letter should be in the same font, layout and on the same paper
What should you include?

A CV should normally contain the following information, but layout will vary depending on which information is most relevant.

  • Personal details: name, address, phone, date of birth, nationality (international students)​
  • Education: postgraduate study, first degree, school qualifications, listing the most recent first​
  • Work experience: relevant first, then other work experience - including unpaid​
  • Skills: computer literacy, driving licence, languages etc​
  • Extra-curricular activities: including student societies, sports teams​
  • Interests: including sports, hobbies​
  • References: personal tutor, employer, (voluntary work supervisory, work placement supervisor), project supervisor​

Ok. mkuu
 
Mkuu yawezekana uko sahihi.

Lakini mimi nijuavyo CV inaendana nini ulichokifanya huko, kuhusu pages sina uhakika mie ninavyofahamu inatokana na elimu yako iko propotional na page za cv vivyo hivyo kwa mda wa kazi.

Nafikiri wanaondika page mbili ni watu wa vidato na wanaomaliza digrii ya awali.

Hebu chungulia cv ya huyu jamaa, japo sio sample nafikiri ndo hali halisi.

Hao unaosema wanachoka kusoma page kadhaa za cv, ni wavivu na huu ni uvivu wetu waafrika na ndio maana nafikiri na ndio maana tunapata wafanyakazi feki.

Unapoweka nini unakijuwa ktk cv na mafanikio ndio unampa mwajiri picha halisi na yeye kupata fursa kukuliza maswali kulingana na cv yako, hapo ndio atajuwa umedanganya ama la.
cheki hiyo attachment. japo nasisitiza sio sample lakini nafikiri ndivyo inatakiwa kuwa.
Kumbe MkamaP na wewe hujui CV ni nini uliyoiweka pale si CV ni maelezo ya maisha yake shuleni mtu anaeleza alichoandika kwenye kitabu na chapter zake kama 50 pia ameorodhesha Journal article kama 40 ameelezea eti alikuwa Invited Lecture na Presenter hiyo si CV mtu hadi ameeleze eti nani alim sponsor kwenye research amehudhulia vikao na mikutano mbalimbali hayo si malengo ya CV ndiyo maana imekuwa na page nyingi

MkamaP ningekuwa mimi huyo jamaa yako hata kwenye short list asingekuwemo CV inatakiwa iwe short, clear and simple halafu i target kazi uliyokusudia si kuandika kila kitu hata kama unaona ni kizuri (irrelevant resumes)

Nakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 1995 Mrema kwenye CV yake aliandika vikao na mikutano aliyohudhuria Mkapa akamkejeri akamwambia ningekuwa naandika mikutano niliyohudhuria sidhani kama mungemaliza kuisoma leo maana ni mingi sana mingine hata siikumbuki nafikiri ilikuwa wakati wa presidential debate 1995.
 
Kila wakati Cv's Cv's kama kweli wanaweza tutawajua kila ukifika sehemu zote kama ni CV basi hawa wa CCM wanaweza wakawa nazo kubwa zaidi
 
Mfano January Makamba yupo serikalini na vitu kama hivyo.

Mkuu huyu jamaa kama sio baba yake usingekuwa unamjua, mnaweza tofautiana na mie lakini naliongea hili kwa kuwa limeshanikuta, alijisifia saana alipomaliza kidato cha sita alihangaika kwenda kutafuta kazi kwenye makambi ya wakimbizi kigoma, Kumbukeni MZEE MAKAMBA kwa kipindi hicho alikuwa RAISI wa kigoma JE kama sio BABA je January angepata kazi kwenye hayo makambi ya wakimbizi????na wizara ya mambo ya nje ikumbukwe JK alikuwa BOSS na JK na baba walikuwa maswahiba angenyimwaje kazi? Tulikotoka kulikuwa kuzuri saana ila tulipo na tunakoelekea tuwasikitikie saana watoto wetu na wajukuu wetu
 
Nyerere aliondoka na sh ngapi hata familia yake ikoje kwa sasa si hata watoto wake kina Makongoro si tunawaona angalia tofauti yake na wanasiasa wa kisasa watoto wao wako wapi na familia zao zikoje hakuna sababu ya kuwataja

Sikuelewi!

Kwamba Nyerere aliingiza mkono mfukoni kuekeza kwenye siasa?
 
Back
Top Bottom