Weka Maneno picha hii

Mama: Hivi kwanini mnaendesha nchi kama siku ya gulio Katerero?
Pinda: Hata mimi nashangaa mzazi,si umeona hata ya Jairo nilidharaulika,yaani mimi nipo nipo tu mama.
 
Mama: mwanangu unawaona wale watu wawili nyuma yetu na nguo zao za 'kijani'? Wale sasa hivi hawafai na manguo yao ya kijani. Vaa magwanda mwanangu.

P: mama tulia, ngoja kwanza niwafaidi wa kijani. Mimi ninajua kabisa kuwa magwanda wa ukweli.
 
Mama:hivi ni kweli ww na mwenzako mlikuwa hamjui kuwa wamechakachua makao makuu ya wilaya?
P:Mama mi sielewi hata ilikuaje jamani.
Mama:sasa kama hata ww uelewi nani ataelewa,mbona mnatufanya watoto eeh!
P:Mama kuweni wavumilivu tu.
 
MAMA: Sasa mwananangu Nchi mnaipeleka wapi? Mnaiuza kwa Suti tu? Mkienda nje nako mnaenda kuomba vyandarua! tabia hii mmeiona wapi?<br />
<br />
MTOTO WA MKULIMA: Mama kile kitambaa ni kizuri material yake hapa kwetu haipo! Huoni jamaa siku hizi anavyong'aa?
 
MAMA: Hivi ni kwani mnaendekeza udini na ukanda kupeana madaraka, mbaya zaidi mtu mmoja mnapa nyazifu kibao? PINDA:Mimi huwa sishirikishwi katika uteuzi wa viongozi ngazi za juu.MAMA: Vipi kuhusu watoto wangu mnapango nao wa kuwapa japo Wizara kama sio kuongoza dola kama mnavyo wandaa watoto Mwinyi na Kawawa?PINDA:Mama nitaufikisha ujumbe huu kwa Kikwete japo hashauriki.MAMA: Kamwambie pia kuwa huku Mara sasa ni bora achie CDM wachukue majimbo yote maana vurugu za siasa na ukabila zinatukosesha usingizi hasa sisi wazee,hivyo ni bora awachie CDM watawle kupunguza vurugu maana hata wawakilishi wetu Wasira na Nyambari wanaongea upuuzi mtupu mbungeni na kusinzia ovyo.PINDA: Uko sahihi kabisa mama haya najionea mwenyewe mjengoni na watanzania wote na mashaidi juu uzembe na upuuzi wa wabunge hawa.
 
mama: pinda nchi mnaiharibuPinda: vascodama II huyomama: kwanini humweleziPinda : ni mbishi, ukingangania anakuzushia jambomama;we mwache lakini mzee alishasema kwamba hafaiiPinda:mmmmmm
 
MAMA: sasa mwanangu unataka kulia nini?

PINDA: hapana mama silii ndivyo sura yangu ilivyo mama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom