Weight ya Khadija Mwanamboka

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
No pun intended lakini naona kawa mnene sana au anaumwa huyu sister?

duh!

aiseeee

duh!

dont get me wrong lakini nijuavyo mimi kuwa kutokana na industry yake inabidi uwe na umbo fulani hivi...you know size 0 or so

dah!

I am speechless
 
Ahahahahahaaa...GT angalia madokta (Phd.) feki wasije wakakukomalia koo na kukuambia una lako jambo dhidi ya Bi. Khadija...na sitashangaa wakianza kusema wewe ni NN na mimi ni GT....Ohoooo weee lete mchezo
 
The important qn is, is she happy with herself? if yes then go Khadija go! Live your life the way you see fit
 
I dont even know what to say lakini anako elekea huyu mama sio kuzuri hata kidogo

after all ana uwezo na access to vitu vya mazoezi, madawa na kadhalika

duh!
 
SDC11971.JPG
 
No pun intended lakini naona kawa mnene sana au anaumwa huyu sister?

duh!

aiseeee

duh!

dont get me wrong lakini nijuavyo mimi kuwa kutokana na industry yake inabidi uwe na umbo fulani hivi...you know size 0 or so

dah!

I am speechless

Ila hufanananiiiiiii na hoja mtu hii.............. njoo na nyingine
 
Back
Top Bottom