Weekend Njema

Mbona hujanijibu PM yangu Msasha?

Mimi jana nilikuona umekaa counter pale zero Pub nikaogopa kukustua.

Yule mdada ulikua umekaa naye asingeamini kama mimi ni sister wako.

Nilimuona alivyokua anamshuku Yule muhudumu(Eliza) Nikaona kama kwa Mhudumu Tu mtu anakua na wasi wasi je Mimi wa kuja ingekuaje?

Yaani alikua kama Bodyguard wako.
Khaaa!

Ndo umeamua kuweka haya mambo hazarani namna hii?

Hoi waafo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom