Weekend Njema

poa basi tufanye hiyo lemon tree, ule wako uingie mitini. hiyo fine labda uje uombe na jani fulani linaitwa ''isale''
ilo jani bwana nimelimis kweli kule nndeni nilikuwa nikipewa ma meal siyapendi nakula then naenda kujitapisha nalo nimelimis kweli mtu achafui tumbo yako hvhv sema lina balaa kweli ni nomaaaaa
 
KH where have you Been. yaani nataka tu organize ka get together mimi wewe na Bebii. Nitakupigia baadae tupange.

No. yangu si unayo? siku hizi natumia ile ya voda inayoishia na 693.

Nipo my dear.........naona tunapishana tu. Hiyo itakuwa njema sana. Waiting for your call...................
 
ilo jani bwana nimelimis kweli kule nndeni nilikuwa nikipewa ma meal siyapendi nakula then naenda kujitapisha nalo nimelimis kweli mtu achafui tumbo yako hvhv sema lina balaa kweli ni nomaaaaa

ha ha ha ha ha. Kumbe unalijua lile? Nilitaka nilitaka Ukamuulize asprin. Juzi tu kanikosea kaja na lile jani na Nyama iliyofungwa na majani ya migomba. ''Kisangu''
 
ha ha ha ha ha. Kumbe unalijua lile? Nilitaka nilitaka Ukamuulize asprin. Juzi tu kanikosea kaja na lile jani na Nyama iliyofungwa na majani ya migomba. ''Kisangu''
hiyo red siipati ndo nini hiyo?
 
Yes hii ni wiki end ya ukweli kwanza ni mwasho wa mwezi,mvua inanyesha,man u tutatoa machungu ya juzi kati,simba na yanga ndio hivyo tena,ya ni wiki end yenye raha za kutosha.
Analizo;Abiria chunga mzigo wako hali ya hewa hii wezi wengi!
Asante,vivin nawe enjoy ur wikend!
Hilo nalo jambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom