Weekend Njema

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia madadiito na mamiito wote weekend Njema.

Msinywe kupitiliza coz ni weekend ya mwisho wa mwezi.

Kuna mahafali Vyuo mbali mbali, kwahiyo kuna masherehe Mengi, so Guys take Care.

Kunyweni lakini msilewe.

Wazee wa infi, Weekend hii mtulie nyumbani kidogo angalau mcheze na watoto.

Wale washabiki wa Manu mara hii Hatuwezi fungwa tena magoli sita. kwahiyo tunaweza kufurahia mpira kwenye Big screen pale mlimani city.

Wanazi wa simba na yanga nasikia ndo hivyo tena kesho.

What a weekend!!!

ni weekend ya kipekee.
 
nikutafute vivi kuna mbuzi naenda kuchinja mahali ana nyama za kutosha
 
ntafute mie, Lol, vivi atakuwa kwa big screen pale mlimani City, kasema hapo juu
 
Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia madadiito na mamiito wote weekend Njema.

Msinywe kupitiliza coz ni weekend ya mwisho wa mwezi.

Kuna mahafali Vyuo mbali mbali, kwahiyo kuna masherehe Mengi, so Guys take Care.

Kunyweni lakini msilewe.

Wazee wa infi, Weekend hii mtulie nyumbani kidogo angalau mcheze na watoto.

Wale washabiki wa Manu mara hii Hatuwezi fungwa tena magoli sita. kwahiyo tunaweza kufurahia mpira kwenye Big screen pale mlimani city.

Wanazi wa simba na yanga nasikia ndo hivyo tena kesho.

What a weekend!!!

ni weekend ya kipekee.
Hapo kwenye red inakuwaga ngumu.
 
ntafute mie, Lol, vivi atakuwa kwa big screen pale mlimani City, kasema hapo juu

Njoo na wewe mlimani City kuna Mbuzi mwenye nyama hatutaweza kumaliza na Bebii peke yetu. najua wewe unakunywaga heneken.
 
Yes hii ni wiki end ya ukweli kwanza ni mwasho wa mwezi,mvua inanyesha,man u tutatoa machungu ya juzi kati,simba na yanga ndio hivyo tena,ya ni wiki end yenye raha za kutosha.
Analizo;Abiria chunga mzigo wako hali ya hewa hii wezi wengi!
Asante,vivin nawe enjoy ur wikend!
 
yaani hii weekend Balaa, sijui jumatatu ndo itakua Black Monday?
 
Mlete huyu Mbuzi tumchinjie Mlimany City. Mwendo wa Savannah na Dempo tu.
ahaaaaaaaaaa nitamchinjia maeneo ya lemon tree quality plaza maana al shabab wamenifanya nikae kimachale machale ili niende uwanja wa taifa kama mambo shwari
 
Yes hii ni wiki end ya ukweli kwanza ni mwasho wa mwezi,mvua inanyesha,man u tutatoa machungu ya juzi kati,simba na yanga ndio hivyo tena,ya ni wiki end yenye raha za kutosha.
Analizo;Abiria chunga mzigo wako hali ya hewa hii wezi wengi!
Asante,vivin nawe enjoy ur wikend!
kuna mbuzi njoo ule nyama cantalisia
 
ntafute mie, Lol, vivi atakuwa kwa big screen pale mlimani City, kasema hapo juu

Mh..! mie huwa namwonea Kocha huruma timu ikifungwa, ila kama kutakuwa na sesseion ya jimbuzi away from big screen the count me in.
 
ahaaaaaaaaaa nitamchinjia maeneo ya lemon tree quality plaza maana al shabab wamenifanya nikae kimachale machale ili niende uwanja wa taifa kama mambo shwari

Al shabab wake kwa kina Smatta Bebii.

Si unajua Nchi yetu ni kisima Cha amani.

Lemon tree iko wapi babii, nina hamu na Savanna sana halafu mshahara ni mpaka Tar. 4 November.
 
Ratiba wa Wikiendi ni kama ifuatavyo

Leo Ijumaa naenda kwenye mkesha wa maombi hadi saa moja asubuhi
Kesho Jumamosi naenda kwenye maombi na Jumuiya kwenye Sala na kusoma Biblia
Jumapili kanisani halafu baadae jioni kwenye Fellowship

Follow me ili upate kusikia na kujifunza neno la Bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom