weekend ndio imefika tupunguze mawazo kwa kupeana michapo ya town

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
Dah pamoja na mawazo mengi tuliyonayo kuhusu rushwa bungeni,kufungiwa mwanahalisi,kugombana na wake zetu,wapenzi wetu....tusahau yote hayo. Tupeane michapo ya town.
Bwana wewe kiswahili kipana.....Leo nilikuwa asubuhi,nilikuwa nasikiliza Redio one kipindi cha kumepambazuka nikasikia mwanamama mmoja anasema ''Hata mpera wanyumbani ukiiva na kutoa mapera yaliyonona uwezi ukala'' unajua maana yake.....eti maana yake ni kuwa hata dada yako awe amenona vp uwezi kumwoa.
 
Inafuatana na ntu na ntu, kuna wengine naskia wanakula vizuri tu!
 
dah....mimi w/end hii nina kisirani kama nini......ipite haraka.....
 
Na kweli manake binamu yangu kila akijaga huwa ananimbia we usungekuwa dada yangu ningekuoa.Basi na si tukikutanaga familia tunaanza kuambiana kama ndugu wangekuwa wanaoana nani angemuoa nani huwa inakuwa fani kweli manake mtu anataja mapungu na mazuri ambayo angekuwa naye mwenza wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom