wEeKeNd hIi wApI WeWe?? sOma hApA yAnGu, vErY iNtErEsTiNg!!!

Thanx wakusoma kwanza nilikumic xana manake toka uweke post ya matokeo yako cjakuona tena, pili haya maisha ye2 wote leo kwangu kesho kwako. Tatu, kwa comment yako tu naamini SUZY atanikubali c 2 kuwa boyfriend wake bt kuwa husbnd,
Ntarudi kuwajuzeni kesho yaliyojili.

Safiiiiiiiii!!!
 
Mimi weekend hii ntakuwa na ratiba kubwa ambayo haijawahi kutokea ktk maisha yangu kwani nimepeana promise na mrembö mmoja ambaye nimempenda sana yani nipo tayari kuwa naye maishani mwote, sasa kesho ndo ntakutana naye ili ni2pe MANENO. Sijawahi kumwambia dada yoyote nakupenda yaani kumtongoza hivyo kwangu event ya kesho ni kubwa hapana kutokea.
BARAKA ZENU NAOMBA ILI NIKUBALIWE!!

Nani atakuwa na Event kubwa kama yangu ama inaendana na yangu?

Usijekuwa una miaka 19 halafu unasema huyo binti ukimpata atakuwa wako wa maisha mwote?
Bado safari ni ndefu hadi siku umemweka ndani rasmi.
 
WAPENDWA WANA JF,
Nina furaha kubwa sana baada ya weekend yangu kwenda vizuri kwa asilimia 99.9, nashukuru kwa BARAKA zenu, kwani kama nilivyowaambia kuwa ntakuwa na meeting na dada mmoja aitwaye suzy, kwa ajili ya kumweleza UPENDO wangu kwake.Nashukuru zoezi lilienda vizuri japo lilichukua takriban masaa manne kuwa kufikia muafaka, hatimaye dada akanikubalia, hivyo basi NIPENDE KUTOA SHUKRANI ZENU KWA KUNIPA MKONO WA BARAKA, Japo nitawaitaji tena katika ushauri hasa katika maisha yetu na my wifw to be. Usiku mwema.
 
Kazi bado unayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom