Week end Special

Gosh! I love married life... BUT i love my life more... Nikiona kwamba mwanaume hana muelekeo hata nijitahidi vipi... kwa ufundi, utundu ama yoote yanayostahili mie mke nifanye na bado akani treat kama tu kijakazi. or continuously mistreat me.. I let go... For there is no turning back and my life is my life... Sitaki kabisa nifike forty niseme i could have lived... Nataka nifike Forty nisema I have lived....
ule unaouona wewe mwelekeo anaweza yeye asiuone mwelekeo how do u compromise?...... fafanua zaidi Ashadii, leo lawyer niko vere serious
 
Kosa hapo labda ni kurembua; mimi napenda mabibi wanaoji keep young! Kwa nini mtu usherehekee uzee. Lazima upambane usizeeke. Including mavazi.
Unakuta kabibi kana 50 kanavaa kimini halaf kanakulembulia macho, halaf ukikiamkia "shkamoo" kanaitikia "poa tu", tumataftiana ubaya tu
 
Kama hauna ndio mb
aya zaidi, ogopa sana watu ambao hawakumess kwenye ujana wao, hawa wakimess uzeeni basi Hurricane Irene ina afazali

kloro umeongea pointi kubwa mno
wengi wanaumbuka vibaya kwani wanashindwa hata namna ya kuanza au kujificha

mimi ilinitokea kuna ofisi...mama alikuwa mlokole saana
halafu hakuwa na ndoa stable...
ikatokea akanizimia wakati yeye alikuwa boos wa ma bossi wangu...
mimi ujasiri sina,na yeye hajui aniambie vipi.....lolyaani
 
Mie ndo maana nakula maisha sasa... Married or not... a mom/wife or not! Nataka nafika late thirties nakua preserved and live my age let alone at 50 ambapo nahisi nitakua na mjukuu (Mungu akijalia) for fortunately niliwahi kuzaa...

watch out! unaweza ukala maisha in a wrong way ukajikuta "kula maisha yako" imeathiri future yako yote including hiyo fifty unayotegemea ku chillax. Umewahi skia walioanza drugs 30's na 50's yao ikawa useless?
 
kloro umeongea pointi kubwa mno
wengi wanaumbuka vibaya kwani wanashindwa hata namna ya kuanza au kujificha

mimi ilinitokea kuna ofisi...mama alikuwa mlokole saana
halafu hakuwa na ndoa stable...
ikatokea akanizimia wakati yeye alikuwa boos wa ma bossi wangu...
mimi ujasiri sina,na yeye hajui aniambie vipi.....lolyaani

Mkuu hapa kuna mifano hai mingi sana, ninae close relative wangu mmoja alikuwa idol wa family na wazee kila wakiongea walipigia mfano kwake, aisee Mungu si Nyani Ngabu, jamaa alipofika 42 alilipuka vibaya sana, alikuwa kiwembe mbaya sana, bange anakula kama salad tu.
 
Ni moja ya thread zilizotulia sana..nimepata majibu ya mtihani..naku-copy haraka haraka na kuficha kwenye soksi...kwa bahati mbaya hapa kijijini ni a bit late. .nitachangia kesho.. Otherwise, Well done folks, big kudos!

Just because you know someone doesnt mean you love them,
And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,

kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
yeyote

All actions are preceded by thoughts and if you abandon yourself to such thoughts then it is more than likely that one day you will act on them.
be true to to yourself. Don't try to be whom you are not. Just be you and 'do' you!

We human beings are not infallible. On occasions we do fail. But occasional failure shouldn't always define who we are. We should strive to improve ourselves, correct the wrongs we do, strengthen our weaknesses, and in the end be defined by the totality of the life we have lived rather than just a few and isolated incidents where we failed.

Inawezekana shantel kumpenda mtu hujawahi muona ila nafikiri tunapaswa kucontrol hisia zetu hasa kama umependa wakati tayari upo katika mahusiano mengine..
 
ule unaouona wewe mwelekeo anaweza yeye asiuone mwelekeo how do u compromise?...... fafanua zaidi Ashadii, leo lawyer niko vere serious

I am a bit Old fashion hivo naamini saana ule msemo wa "Mwanamke Mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe"... Naamini kua kuna responsibilities i have to carry as a wife... kama kumajali mume wangu to the Maximum - ikihusisha kuhakikisha anakula good food, nguo zipo safi na tayari, namjali na nipo kwake when ever he needs me whether for better or worse... in addition taking care of the kids and my home... nikihakikisha there is love and harmony; which mara nyingi ni possible zaidi if you love... For naamini kama umeshika nafasi yako ipasavo kama a Wife.. hata kama mumeo hakupendi, kama ni muelewa ata ku appreciate...

Nikifanya hivo nategemea atani appreciate... atanipa support pale ninapoelemewa hata kama ni direct majukumu ndani... atanithamini... na atanipenda (na haya yoote huonekana kwa vitendo - from the way ata ku handle); Kwamba atakua kweli Mwanaume wa nyumba na Kweli Mume na Baba pia... BUT kinyume cha hapo... Kweli ni vigumu kuvumilia milele - waweza vumilia hoping he will change, but asibadilike... hapo kweli inakua kama vile ni mtumwa....
 
Will u marry me? lol (Kaizer akikudivorce nishtue)
 
watch out! unaweza ukala maisha in a wrong way ukajikuta "kula maisha yako" imeathiri future yako yote including hiyo fifty unayotegemea ku chillax. Umewahi skia walioanza drugs 30's na 50's yao ikawa useless?

ha ha ha.... Kloro.. ninaposema nakula Life sasa sio extremes.... for as much as I live my life nitakavo i always take in mind kua I have kids... Nina maana kua what i like nafanya saizi... vitu vichache hasa vifanavo husiana na entertainment.....
 
Hilo ni kweli AD. Ndio maana tunavumilia pale tunapokuwa cheated baada ya kugundua (though may not be true) kuwa bado tunapendwa. Mimi nikiona jamaa mapenzi hamna sijuhi kama ntaendelea kukaa kwenye ndoa. Nitaachika si kwa kuwa I want to re marry (maana nshakuwa mtu mzima) ila ili niwe na peace of mind. Siwezi kuishi maisha ya kulia kila siku never ever!

Na hivi nimeshasikia wanawake single ni more successful; am ready to live single na kujipa raha.

I am a bit Old fashion hivo naamini saana ule msemo wa "Mwanamke Mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe"... Naamini kua kuna responsibilities i have to carry as a wife... kama kumajali mume wangu to the Maximum - ikihusisha kuhakikisha anakula good food, nguo zipo safi na tayari, namjali na nipo kwake when ever he needs me whether for better or worse... in addition taking care of the kids and my home... nikihakikisha there is love and harmony; which mara nyingi ni possible zaidi if you love... For naamini kama umeshika nafasi yako ipasavo kama a Wife.. hata kama mumeo hakupendi, kama ni muelewa ata ku appreciate...

Nikifanya hivo nategemea atani appreciate... atanipa support pale ninapoelemewa hata kama ni direct majukumu ndani... atanithamini... na atanipenda (na haya yoote huonekana kwa vitendo - from the way ata ku handle); Kwamba atakua kweli Mwanaume wa nyumba na Kweli Mume na Baba pia... BUT kinyume cha hapo... Kweli ni vigumu kuvumilia milele - waweza vumilia hoping he will change, but asibadilike... hapo kweli inakua kama vile ni mtumwa....
 
ha ha ha.... Kloro.. ninaposema nakula Life sasa sio extremes.... for as much as I live my life nitakavo i always take in mind kua I have kids... Nina maana kua what i like nafanya saizi... vitu vichache hasa vifanavo husiana na entertainment.....

hehehehe najua wewe ni mtu wa aina gani, nimeuliza tu ili wale wasiokuwa kama wewe wasome majibu yako na wajifunze kwako.
 
Hilo ni kweli AD. Ndio maana tunavumilia pale tunapokuwa cheated baada ya kugundua (though may not be true) kuwa bado tunapendwa. Mimi nikiona jamaa mapenzi hamna sijuhi kama ntaendelea kukaa kwenye ndoa. Nitaachika si kwa kuwa I want to re marry (maana nshakuwa mtu mzima) ila ili niwe na peace of mind. Siwezi kuishi maisha ya kulia kila siku never ever!

Na hivi nimeshasikia wanawake single ni more successful; am ready to live single na kujipa raha.

nyumba kubwa please
temea mate chini......
niliona kuna thread ulisema mama yako aliachika
nikatamani nikuulize more about it

na leo unasema umesikia single women wako more succesfull

tafadhali....kuna kitu unakiingiza kwenye subcouncious yako....taratiibu
utashangaa kikilipuka siku moja..
kama uko married and happy now.....

consider wanaoachika na wako single wako miserable mno,itakusaidia..

the moment ukiamini unaweza kuwa single and more happy.....kurudi nyuma itakuwa tabu
 
Mhh, jamani mapenzi ni nini? unampenda a strange person? Sielewi.
 
Hilo ni kweli AD. Ndio maana tunavumilia pale tunapokuwa cheated baada ya kugundua (though may not be true) kuwa bado tunapendwa. Mimi nikiona jamaa mapenzi hamna sijuhi kama ntaendelea kukaa kwenye ndoa. Nitaachika si kwa kuwa I want to re marry (maana nshakuwa mtu mzima) ila ili niwe na peace of mind. Siwezi kuishi maisha ya kulia kila siku never ever!

Na hivi nimeshasikia wanawake single ni more successful; am ready to live single na kujipa raha.

Mie NK nikigundua mume wangu katoka nje... i won't even bother kumuuliza kama najua sitaachia ngazi - for hakuna kitu kinajenga kiburi kwa mume kama ajue unajua upuuuzi alofanya na umemezea... Issue itakuja tu pale ambapo kapata mwanamke ambae kamchanganya huko nje mpaka ina affect ndoa yangu... au kama anafanya upuuzi wake kwa ku flaunt... yaani ulimwengu mzima watambua - That to me is another case...

Hata hivo NK from experience maisha ya Usingle sometimes yana cost zake... Your friends hawawi comfortable ukiwa unaongea na their men (usiombe uwe mcheshi)... hata upweke pia... sometimes it is worth it kua na mtu wa kuabadilishana mawazo au kukufanya roho idunde with anticipation....
 
Am trying to reason kwa nini kuna wanawake wanaishi kwenye ndoa zenye mateso?? Kwa nini wanaishi maisha ya kulia daily? Kwa nini wanafikia mpaka ku loose weight kama waathirika? Mimi sitaweza kuishi maisha ya hivyo. Ntakaa kwenye ndoa kwa kuwa nahisi napendwa; otherwise sorry and God will forgive me.

Usitie shaka kwa sasa kwani shem wako hana dalili za kuni treat that way. At least not for now.
nyumba kubwa please
temea mate chini......
niliona kuna thread ulisema mama yako aliachika
nikatamani nikuulize more about it

na leo unasema umesikia single women wako more succesfull

tafadhali....kuna kitu unakiingiza kwenye subcouncious yako....taratiibu
utashangaa kikilipuka siku moja..
kama uko married and happy now.....

consider wanaoachika na wako single wako miserable mno,itakusaidia..

the moment ukiamini unaweza kuwa single and more happy.....kurudi nyuma itakuwa tabu
 
Ni moja ya thread zilizotulia sana..nimepata majibu ya mtihani..naku-copy haraka haraka na kuficha kwenye soksi...kwa bahati mbaya hapa kijijini ni a bit late. .nitachangia kesho.. Otherwise, Well done folks, big kudos!

Hakikisha umerudi... I want your input....
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom