Week end Special

NK... hii post imenifurahisha... napenda the way umesindikiza ni red kwa finality ya Blue... Naamini kabisa kama mhusika una msimao huo basi hata yale aliosema NN hayawezi kukuta wala hutastahili kufanyia kazi....

Alichosema Nyumba Kubwa ndiyo ile willpower niliyoizungumzia katika bandiko langu la kwanza. Nimeupenda msimamo wake kwa maneno na kama kwa vitendo pia hufanya hivyo basi nampa heko mara 800!

Hapo in red... kuna members weengi saana JF nasikia wameumizwa.. mtu mpaka anaona JF ni chungu tena.... Ni bora hata wale wanakutana kama friends bila nia ya kutongozana (thou ni rare), alafu ikaenda na flow....

Hapa ofisini kwangu kuna file tatu lakini due to privacy na kama ni jitihada za kuutokomeza umbeya Tanzania sitowataja.
But uko sawa kabisa

huwa siamini kama wanaotafta wachumba net wapo serious!
Hivi katika mazingira ya kawaida na tunavyointeract na watu unaweza kosa mchumba kweli hadi mtu aamue kutafta kivuli internet!!

Khaaaa! nilitaka kukuanzishia sredi ujue! ina maana imekula kwangu?

Shantel... mie nilisha "FALL" .. kwa wawili humu JF... Uko sahihi bibie

Hapo in red... kuna members weengi saana JF nasikia wameumizwa.. mtu mpaka anaona JF ni chungu tena.... Ni bora hata wale wanakutana kama friends bila nia ya kutongozana (thou ni rare), alafu ikaenda na flow....

ukiruhusu kuumizwa ni kweli utaumizwa.
Watu wapo tofauti kabisa na unavyoweza kuwazania.

hili la kuumizana mioyo sometimes huwa nawapenda wanaoanzisha mahusiano

wakiambiana mapema kabisa this is for fun,nothing serious

tatizo wabongo wengi hatupendi hizo
tunataka kudanganyana,mwisho ndo hayo

Kumbe unasikia tu....

The good thing nimesikia directly from wahusika... the irony most ni guys... Tatizo hapa JF mtu mmoja anavutiwa taswira tofauti na wahusika ikiendana na hao wahusika what they like most in a man/woman... Mwingine ata imagine ni mnene/mwembamba... mweupe/mweusi... Beauty/prettiness ikitawala katika mawazao ya weengi... BUT once they meet the person in question..... Ni another unfathomed case....

Alichosema Nyumba Kubwa ndiyo ile willpower niliyoizungumzia katika bandiko langu la kwanza. Nimeupenda msimamo wake kwa maneno na kama kwa vitendo pia hufanya hivyo basi nampa heko mara 800!

I know NN... I know what you mean and i know where it is coming from...
She is what she is for she can not be what she is not... and that applies to all....

And of coz nampa HEKO pia...

The good thing nimesikia directly from wahusika... the irony most ni guys... Tatizo hapa JF mtu mmoja anavutiwa taswira tofauti na wahusika ikiendana na hao wahusika what they like most in a man/woman... Mwingine ata imagine ni mnene/mwembamba... mweupe/mweusi... Beauty/prettiness ikitawala katika mawazao ya weengi... BUT once they meet the person in question..... Ni another unfathomed case....

Umesikia moja kwa moja toka kwa wahusika wa pande zote mbili au pande moja tu? Manake mimi siwezi kufikia hitimisho kwa kusikia ya upande mmoja tu bila kusikia na wa pili.

halafu huyo nyumba kubwa yupo hivyo kwa sababu ya factor nyingi sana
labda malezi.lakini naamini pia na aina ya mume alienae

pengine angeolewa na mtu mwingine angekuwa mtu mwingine kabisa

halafu huyo nyumba kubwa yupo hivyo kwa sababu ya factor nyingi sana
labda malezi.lakini naamini pia na aina ya mume alienae

pengine angeolewa na mtu mwingine angekuwa mtu mwingine kabisa

Unaipenda misimamo yake (at least hapa kwenye forum) inapokuja kwenye mahusiano?

imekula kwako mazimaaa. Usikute wa ni kibabu huna hata jino moja.
hehehe vibabu vinapiga mzigo kuliko hawa masharobaro wa sku hizi, hizi kesi za kinamama kutokufikishwa kileleni zimeanza miaka hii, enzi zetu kinamama walikuwa wanalalamika kileleni wanakaa sana wataanguka siku moja moja tuwaweke kwenye mashina.

Hakuna haja ya kuleta hapa... as your fellow Co-worker naamini nina access na hizo files... hivo naja....

hahahaha! Mi nina file mbili. Jumla 5. Mmmh! Hali ni mbaya.lol.

Lawyer ninaekubalika hapa JF ni mimi tu, nyinyi hizi habari na haya mamlaka kawapa nani?

Unaipenda misimamo yake (at least hapa kwenye forum) inapokuja kwenye mahusiano?

siwezi kusema naipenda or siipendi
inanifanya niwe more curious about her

je how old is she?ndoa yake ina miaka mingapi??????

kwa sababu most women wanakuwa hivyo wanapokuwa still in love na ndoa zao na waume wao...

kukitokea mabadiliko,unashangaaa

umewahi sikia mabadiliko ya wanawake after menopause??????/

Nazungumzia ideally na ndiyo maana nikaweka kwenye mabano "at least hapa kwenye forum". Mimi on face value I like her stances with regards to relationships.

Mengine nje ya hapa JF siwezi kuzungumzia sana maana sina jinsi ya kuyafuatilia na kuthibitsha mwenyewe.

Unaipenda misimamo yake (at least hapa kwenye forum) inapokuja kwenye mahusiano?
Offu topik: dah cookie kanipa za uso kwa JF rules halaf kafunga topik, skujua yuko serious kivile! Aisee sinyatii tena mamods ,nashkuru hakunilamba ban

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom