Ulikua unatafuta nin kwenye web ya chuo chetu?
Ulikua unatafuta nin kwenye web ya chuo chetu?
tatizo ni kwako tuhili tatizo ni langu au kwa watu wote
Mkuu hii sasa imezidi kiwango.
kwa nin mkuu?
Unatakiwa uwape moyo na wenzako mkuu.Hiki ni kipindi kigumu sana kwa applicants wengi na itachukua muda kwa wao kuyakubali na kuyapokea matokeo.
mkuu,utan kidogo sio mbaya,ilimradi humuuzi mtu.pamoja sana
kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !!
kesho SUA wanaachia selectn zao xo wanasua mpo !!
MHHHH kaka twakwaminia bt kesho si ndo leo???