Website ya TING-Watoaji wa ving'amuzi

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Jamani mwenye jujua website ya hawa jamaa nasikia wana ubia na AGEPE TV lakini nimekosa website yaosijui wanaitwa TING au TIANG vyovote lakini nasikia wanakuja juu katika kutoas huduma ya vingamuzi kwa kuwa na local channel nyingi kuliko Star Timeswebsite yao tafadhari
 
mkuu sidhani km wana websitecyao ngoja ntakuchekia. king'amuzi kinaitwa ting sasa hivi wana channel kumi na tano. local stations ni ya kwao atn, tbc1, itv,eatv na channel ten. za nje ni ajazeera, za dini toka nje ni ya wakatoliki EWTN, TBN, Emmanuel tv, jctv nyimbo za dini za ulaya, loveword ya pastor chris, church channel, DW TV AFRICA na Ghana tv hawa huwa wana muvies kibao na vipindi vya soccer. decoder inauzwa laki moja lkn hawajaanza kulipia kwa mwezi. wameahidi kuanzia january kuna channel wataziongeza ikiwamo espn na ndo itaanza malipo kwa mwezi. mwezi wa sita wata introduce internet maana kuna port ya kuchomekea modem/flash so itakuwa ya kisasa. ila kinachonisikitisha ni kwamba kinatumia antenna ya kawaida yeyote ile, sasa kupata reception yakeinakuwa ngumu hasa kwa maeneo km sinza. mie natumia Antenna aina ya air star ndo at least channel zinapatikana. cost yao mwa mwezi wanatarajia itakuwa shs 7500/-
 
Jamani hawa jamaa inaonekana watakuja kuwa matata. Shida yao itakuwa ni jinsi ya kufika mikoa yote maana sijui kama nguvu kubwa kipesa.
 
km wataweza weka yote wanayotaka kuyafanya itakuwa swafi sana. channel watakazoleta ni pamoja na espn discovery channel skynews HBO nollywood tv mlimani tv nk. piga namba 0715403413 au 0763159716 utapata full details
 
mkuu sidhani km wana websitecyao ngoja ntakuchekia. king'amuzi kinaitwa ting sasa hivi wana channel kumi na tano. local stations ni ya kwao atn, tbc1, itv,eatv na channel ten. za nje ni ajazeera, za dini toka nje ni ya wakatoliki EWTN, TBN, Emmanuel tv, jctv nyimbo za dini za ulaya, loveword ya pastor chris, church channel, DW TV AFRICA na Ghana tv hawa huwa wana muvies kibao na vipindi vya soccer. decoder inauzwa laki moja lkn hawajaanza kulipia kwa mwezi. wameahidi kuanzia january kuna channel wataziongeza ikiwamo espn na ndo itaanza malipo kwa mwezi. mwezi wa sita wata introduce internet maana kuna port ya kuchomekea modem/flash so itakuwa ya kisasa. ila kinachonisikitisha ni kwamba kinatumia antenna ya kawaida yeyote ile, sasa kupata reception yakeinakuwa ngumu hasa kwa maeneo km sinza. mie natumia Antenna aina ya air star ndo at least channel zinapatikana. cost yao mwa mwezi wanatarajia itakuwa shs 7500/-

Mbona nilisikia kuwa ITV na Star TV walikuwa waungane katika kuwa na kingamuzi chao,hii ikoje
Pia uwezo wa TING kifedha nafikiri hautakuwa mzuri hivyo baadaye wanaweza kukwama au unasemaje
 
wadau hizi local tv station zote kwanini wasiungane pamoja ili tuweze kuwapata ktk king'amuzi kimoja? au ndo mambo ya soko huria? kama ndo hivyo itabidi mtu uwe na ving'amuzi zaidi ya kimoja. balaaa! na wale wenye analogy tv soon watakuwa wanazitumia kufugia mende na viumbe wengine wa aina hiyo.
 
kwani wengi wanao tumia hizi digital decoder wanatumia tv gani?,si hizi hizi analogy tv?
 
jamani nini kinachowafanya wasiweke local chanel zote kwenye decoda kupunguza usumbufu
 
Back
Top Bottom