Website ya MWANANCHI INA TATIZO GANI?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website.
 
Ina maana wameifunga ili tununue gazeti kwa 800 tsh?Msaada kama kuna anayejua tatizo ni nini kwenye hiyo website.

Ili "kulazimisha" watu kununua gazeti lao kwa Tsh 800, wachukue hatua nyingine ya ziada. Wapige marufuku TV na Redio zote, kusoma habari za magazeti yao.
 
Nadhani walikuwa wanaifanyia marekebisho asubuhi, sa hivi iko safi!!!!!!
 
Back
Top Bottom