FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 716
Wananchi wa Tanzania,
Ni tatizo sana kwa wanasiasa kuwakumbatia watu walewale wasio na mawazo mmbadala, unajua unapoleta damu mpya mawazo nayo huongezeka. Serikali ya Tanzania haina wataalamu au wapo lakini hawapewi nafasi ktk nyanja ya "E", unategemea nini kama huko juu wamejaa wazee ambao wanaamini kuwa kutumia computa ni kazi ya secretari?, mzee toka amalize degree yake makerere hajawahi hata kushika keyboard, halafu unataka atoe decision ya kutumia hela nyingi za serikali kuweka vitu Electronically!!!! lazima ataona ni NONSENSE!!!
Jiulizeni kwanini Tanzania Telecom inafanya biashara ya internet sasa hivi badala ya miaka kama kumi na tatu iliyopita!!! sababu ni wazee kung'ang'ania madaraka na kushindwa kwenda na muda!! wazee wa Kitanzania waliopo nje wangepewa nafasi hali ingebadilika, hawa waliopo nchini wengi wao wapo OUTDATED. Hata huduma yenyewe ya Internet bado TTCL haiwezi kuitoa vizuri, customer service yao ni mbovu kupindukia, down time yao ina extend mpaka mtu unachukia.
Samahani nimetoa mfano wa TTCL ili muelewe picha nzima ya uongozi bongo!!
JK amezungukwa na wababaishaji!
FD