Website ya Dowans

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Nimejitahidi sana kugoogle ili at least nipate website ya hawa jamaa nione some more details za hii kampuni lakini matokeo yake ndio haya!!​
Dowans.JPG
 
Dowans !!!!!!! haaaaa haaaaaa.... kweli mjini shule.

Hawana tovuti wala nini.... ni utapeli tuuuuuuu !!!!!
 
hivi mara ya mwisho hii dowans kufanya kazi au biashara zaidi ya kurithi Richmond ni wap? dunia hii(kampuni za briefcase)
 
duuuh!kweli tunaibiwa mchana kweupe.halafu mijitu inasema hakuna sababu ya kukata rufaa.usikute ndio hiyo hiyo inayounda dowans
 
hawawez kuwa na website-waandke nni?maaana ni uongo wanaoufanya-wanajua wakiwa na website watu watatumia hizo details kuwatambua-kitu ambacho wao hawatak
 
Hivi bado mnasumbua vichwa vyenu kuhusu Dowans na wamiliki wake? Mbona wamiliki wake wanajulikana waziwazi, watanzania mmemsahau yule kigogo (Mbunge) aliyekuwa anawapa matumbo joto pale hazina cheque yake ikichelewa? Mbona Samwel Sitta wiki tatu zilizopita aliwataja (though kiaina aina) wenye akili tuliwajua!!

Mmiliki mwenye share nyingi Dowans ndo alifadhili almost 75% ya pesa zote zilizomfanya Mkuu wa Kaya akapita kwenye mchakato wa kumpata mgombea kupitia chama chake mwaka 2005 na hatimae kufanikisha kumwingiza ofisini. Huyu kwa sasa ndo mastermind wa issue zote nyeti zinazolihusu T-A_I-F_!!
 
kaka, dowans ni kampuni hewa, tuandike tumeibiwa tu mpaka dakika hii, subiri januari umeme upande tuanze kulipa deni kidogo kidogo si unajua.
 
Ile tume ya mwakyembe kama sikosei ilisema hawa jamaa hawaexist. me nashangaa serikali kulipa jamaa hewa!
 
Kuna watu wenye hasira walishawai kutaka kuishusha richmond tower kwa mawe pale kkoo. Sijui jmaa alishabadilisha jina.


Hii Dowans itakuwa ni kampuni ya CIA ndio maana taarifa zake ni siri . Kamasio CIA basi ni kama MEREMETA.

mpaka sasa wao 3 sisi bila.

bao la kwanza la MEREMETA La pili la EPA, na latatu la RADA

kipindi cha pili ndo kimeanza game linaendelea

teh teh teh teh
 
ofisi za dowans ziko wapi? Muone kitu nitakacho enda kukifanya kwenye hiyo ofisi na tena mkifanikisha hili mimi kujua ofisi zake, ni mkute na mkurugenzi hapo ndanii mziki wake mtausikia kwenye vyombo vya habari
 
Back
Top Bottom