Website ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa tanzania, nani ni spika wa bunge?

Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,581
758
Wana-JF naombeni msaada mara kadhaa nimekuwa nikiingia katika website ya Bunge letu nakuta ki-sehemu kimekwa mahususi 'Ask the Speaker" na kuna picha ya Mhe. Samwel Sitta, mathalani sura ya website hiyo usiku wa leo ilikuwa kama inavyoonekana katika kiambatanisho hiki hapa chini: -

View attachment Bungesite.pdf

Je kumuenzi Speaker aliyemaliza muda wake au ni makosa yanafanyika kila mara?
 
Wana-JF naombeni msaada mara kadhaa nimekuwa nikiingia katika website ya Bunge letu nakuta ki-sehemu kimekwa mahususi 'Ask the Speaker" na kuna picha ya Mhe. Samwel Sitta, mathalani sura ya website hiyo usiku wa leo ilikuwa kama inavyoonekana katika kiambatanisho hiki hapa chini: -

View attachment 34800

Je kumuenzi Speaker aliyemaliza muda wake au ni makosa yanafanyika kila mara?

You are sick!!
 
Mazee kuna websites bongo zina info ambazo ni 10 year old, hazina updates.

Nilivyokuwa najifunza kutengeneza webpages in the late nineties, kitabu nilichotumia kiliniambia "tengeneza websites, sio cobweb-site"

Hii ya bunge ni cobweb-site mbona tunaijua siku nyingi tu. Halafu iko slow kama molasses, security zero.Databases prone to SQL injection.Tusiseme sana tunaweza kuamsha mashetani ya script kiddies hapa bure.

Basi wahuni hawajaamua kuiangusha tu.
 
Mkuu kama kuna wataalamu wa IT na hawafanyi update ya web site, hao wataalamu ni wa nini sasa na wanalipwa kwa kazi gani. Unajua huo pia ni ufisadi!
 
Mi nadhani wangeiiangusha tu ili ikiamka ije na mikakati mipya,na hii sio kwa bunge cheki website za taasisi nyingi za serikali habari nyingi ni za mwaka 47...
 
Vitengo vya it sehemu nyingi na taasisi mbalimbali vimelala,wakati wataalamu hawana kazi mtaani wao wanafisadi nchi.shame on future tanzania.
 
Mbona picha za wabunge wapya zinawekwa na kubadilishwa kwa wakati?

Mkuu kama kuna wataalamu wa IT na hawafanyi update ya web site, hao wataalamu ni wa nini sasa na wanalipwa kwa kazi gani. Unajua huo pia ni ufisadi!
 
Mi nadhani wangeiiangusha tu ili ikiamka ije na mikakati mipya,na hii sio kwa bunge cheki website za taasisi nyingi za serikali habari nyingi ni za mwaka 47...

Vitengo vya it sehemu nyingi na taasisi mbalimbali vimelala,wakati wataalamu hawana kazi mtaani wao wanafisadi nchi.shame on future tanzania.

Mbona picha ya wenje ipo hapo? kwanini hakuna wabunge wa Zamani wapo wapya kasoro Speaker tu!
 
labda hao wafanyakazi wa bunge bado wanampenda Sitta.

Nadhani hili jibu lako hakika ndilo linaelekea kuwa la ukweli kuliko majibu yote yaliyotolewa hapa, maana kinachonishangaza ni kuwa picha za wabunge wapya zimewekwa kama ni kuchelewa kubadili nadhani hata za wabunge wa 2010-2015 zingekuwa hazipo.
 
Hata hivyo wana JF nimepata jibu, ingawa siyo zuri sana nadhani walikuwa bado wanatafuta picha inayofaha (Vutia) kwa ajili ya hiyo sehemu.

Maana naona wamesoma hapa na kubadilisha sasa hivi wameweka picha ya huyo mama ila duh! Mungu anisamehe hayo mawigi yaliyojazwa kichwani bado Bunge ina kazi ya kutafuta mpiga picha na mapambe mzuri kwa ajili ya spika nadhani
 
Back
Top Bottom