Website ya bodi ya mkopo vipi tena?

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Ni kitu cha kushangaza sana ikiwa webmaster wa UDSM ICT ndiye webmaster wa HESLB na ame-upload contents za UDSM ICT kwenye HESLB. What a shame?!!!! Ukifungua http://heslb.go.tz unapata contents za UDSM ICT.

Kazi kama hamuiwezi bora muache. Hii katika habari ni sawa na kupasua ubongo kwa mgonjwa wa jipu mguuni. Anyhow it is very interesting and surprising likewise. WAKE UP!!
 
Nenda kwenye site ya Technology kule utaona kwa nini haifunguki. hivyo inabidi wafash out programmes na majina yote ya ya data base au wascan hayo majina ili virus huyo afe na aondoke
 
Back
Top Bottom