Website mpya ya TBC ina kwikwi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza TBC kwa kurusha hewani website yao ila inaonekana bado haijakamilika kwani link zingine hazifanyi kazi kwa mfano ukienda kwenye page hii http://www.tbc.go.tz/sports.html upande wa kulia kuna Main Menu ambapo chini yake link kama TBC FM na TBC TAIFA hazifanyi kazi. Wahusika rekebisheni hizo hitilafu
 
Watakuwa wamekusikia
 
Back
Top Bottom