webcam for laptop or desktop

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
hii ni mini-digital camera nimeifungua kwenye vifaa vya mtumba,software zake na datails zake zinapatikana online,ni nzuri kui2mia kama webcam kwa ajiri ya skyper,spy cam n.k.inapiga kazi vizuri haihitaji battery ikiwa ina2mika kama webcam,KWA WENYE COMPUTER ZISIZO NA CAMERA NA WANATAMANI KUTUMIA SKYPER HII NI SAFI KWAO.bei Tsh150000/= piga simu 0757079055
 
Mi ninayo kali zaidi yako na bei ni 50000 kwa anayetaka ani pm.
 
Back
Top Bottom