Web hosting nimekwama!

Hadoop

Member
Oct 28, 2011
88
15
Issue:
1.ku upload MS SQL database (kila kitu tables, views, procudures,...)kwenda kwenye hosting server

Naomba msaada wa detailed steps zinazohitajika kusolve issue #1

Limitation:
Njia pekee nilinayo ni Export function kwenye DB Management Studio au Remote DB connection from Management Studio.

Najua zipo njia nyingine mfano Backup Manger on Plesk Control na DB upload from Visual Studio IDE. Njia hizi kwa sasa siwezikutumia kutokana na sababu za kiteknolojia. Mfano Backup Manager kwa Plesk yangu iko disabled, sina access right kwa sasa, na VS solution iko OK, lakini server yangu haisupport Web Deploy (bado kuwa installed na admin wa hosting company), only FTP is supported.


Help.
 
Ha
Connect SQL Server Management Studio na local sql server yako, right click db unayotaka kuexport, chagua Tasks, Generate Scripts.. generate script kwa vitu vyote unavyotaka ku export.

Connect kwenye remote db ya host wako, create db, kisha execute script ulizotengeneza.

Kama host wako hakupi njia yoyote ya kuconnect na db kwanza ningekushauri kuhama host, chagua host mwenye web deploy ili uweze kupublish straight from visual studio (Windows Web Hosting Gallery) pili unaweza ukajaribu njia hii Update of SQL Server Database Publishing Toolkit for Web Hosting - ScottGu's Blog
 
Back
Top Bottom