Web designer na hata wasio na utaalamu huo

The Tan-talizer

Senior Member
Mar 28, 2012
155
50
Jamani kwa wale ndugu zangu wataalamu na wazoefu wa hizi mambo naomba mpitie hapa mnishauri kuhusiana na blog yangu NOLNIZ nyie mnaona kipi kiongezwe au kipunguzwe ili nayo iwe katika level flanizaidi na zaidi??? Nayumai tutasaidiana katika hili kwani nlishapost mara ya kwanza nikapata feedback nimejitahidi hakuna nlichobakiza nimewasilisha tena, Natanguliza shukrani:bolt:
 
hapo mkuu kwenye swala la mwonekano (design) imetulia vyema..ila mi nna moja tu nliloliona..kuna baadhi ya picha umezi stretch sana kwa urefu kiasi kwamba mtu anaonekana mrefu flani hivi...yaani mfano piacha ya Titans, O.J. Murdock pale anaonekana ana sura ndefu kwa sababu ya kuivuta sana picha kwa urefu..ingawa kuna nyingine nyiingi zinaonekana fresh tu..
zaidi ya hapo..its a gud work..big up!
 
Sijakupata vizuri mkuu hizo picha za "Titans,
O.J. Murdock" umeziona kwa upande upi???
 
kwenye home paje yako heading inayosema :Mchezaji NFL Ajiua Kwa Kujipiga Risasi ile picha yake ni kama imeshrink kidogo na hata ya diamond pale chini yake inaonekana imevutwa pia...tofauti na ukiangalia picha zingine zinaonekana zimekaa vizuri!!
 
Hapo nimekupata kaka pamoja sana:high5:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom