Web browser ipi bora kuliko zote?

Gonza

Member
Mar 31, 2010
6
0
Nimetumia Internet Explorer, Mozilla, Opera na Rockmelt. Mpaka sasa naona bora Opera lakini zingine zaidi sijatumie. Kama kuna mwingine ametumia zingine naomba maoni yako, web browser ipi bora kuliko zote?
 
Gonza waweza towa sababu kwa nini opera ni bora kuliko hizo zengine?
 
Nimetumia Internet Explorer, Mozilla, Opera na Rockmelt. Mpaka sasa naona bora Opera lakini zingine zaidi sijatumie. Kama kuna mwingine ametumia zingine naomba maoni yako, web browser ipi bora kuliko zote?
Pole mkubwa, web browser nyingi siku hizi zina matatizo. Lakini pia inategemeana na computer unayotumia. Mimi natumia Mac Book Pro na mwanzoni safari ilikuwa inafanya kazi vizuri lakini ikanigomea siku ya online interview nikaipoteza hiyo nafasi toka hapo natumia Google Chrome. Kuna rafiki yangu ana PC ya toshiba anasema angalau Google Chrome ina unafuu. Ni muhimu pia ku 'update' mara kwa mara. Natumaini wadau wengine wanaweza kukupa ushauri unaotofautiana na wangu hasa kutokana na uzoefu wa kutumia. Good Luck ndugu yangu
 
simple, user friendly ----> Google Chrome,,,,,,,,,,,,,,,

x1ezxw.jpg
 
mozila ckuhiz corrupted, others headache, ease your world of browsing..google chrome mambo bien, ; pamoujah :poa
 
Google Crome ni nzuri sana, faida zake
  • inazuia background downloads ambazo huzaziruhusu
  • mtu si rahisi hackers sio rahisi kufuatilia nini unafanya
  • inatunza kumbukumbu uki-iruhusu mfano kama unatabia ya kujaza jaza fomu mitandaoni next time ukianza na herusi tu inakuandikia unachotaka
  • ukiwa nayo huna haja ya kutumia google kusearch unatype pale juu tu then inakupa matokeo
  • Inatunza history ya vitu ulivyo brouse-- hii ni faida lakini ni hasara endapo mtu atakuja kutumia mashine uliotumia anaweza kujua ulichokuwa unakifanya mtandaoni ENDAPO hautafuta history
  • Inazuia pop-up window zisizo za msingi/ambazo huziitaji
  • Haina bars nyingi hapo juu, zinakuwa mbili tu hivyo kukupa screen safi isiyo na mavitu mengi mengi ambayo huyatumii
Zaman nilikuwa natumia mozila ila ikanizingua wala siitaji tena.
bro sam
 
ipo, Google Chrome to Phone Extension enables you to send links and other information from Chrome to your Android device.
This extension adds a button to Chrome that lets you seamlessly pushes links, maps, and currently selected text and phone numbers to your Android device. You also need to install the Chrome to Phone Android application on your phone. The application can be downloaded from Market (search for 'Chrome to Phone'). Requires a mobile phone running Android 2.2 ("Froyo") or later. Note: By installing this extension, you agree to these terms - http://chrome.google.com/extensions/intl/en/gallery_tos.html. The source code for this product is available under the Apache 2.0 license from the Developer website.Version history:2.0.0 - First release2.1.0 - i18n version2.1.1 - bug fix for esget android phone enjoy the life...Pamoujah :poa
 
Google Crome ni nzuri sana, faida zake
  • inazuia background downloads ambazo huzaziruhusu-
Ipi ambayo haizuii. Hii nahaika ni setting tu

  • mtu si rahisi hackers sio rahisi kufuatilia nini unafanya-
Labda uwe unatumia chrome bila utumia internet

  • inatunza kumbukumbu uki-iruhusu mfano kama unatabia ya kujaza jaza fomu mitandaoni next time ukianza na herusi tu inakuandikia unachotaka
Kwa maelezo yako kuhusu hackers basi kama inatunza kumbuumbu hizo ndio hackers zinawasaidia na kurahisiha kazi yao. Hata Hivyo Hii ni setting hata browser nyingine inawezekana

  • ukiwa nayo huna haja ya kutumia google kusearch unatype pale juu tu then inakupa matokeo
Hii hata kwenye firefox ipo

Mozzila ndhani sasa hivi developer wake wengine ni mamluki wa chrome. Wanatoa update kila siku, na smetime crash sana.

Kama wewe unahitaji apps nyingi na addons basi mozilla bado inafaa . lakini kama shida yako ni kutumia mtandao tu bila mahitji mengine basi chagua kati ya chrome na IE
 
Uzuri gani unao ongelea? Kwa sababu kila browser ina features zake kwa hiyo inategemea wewe unapenda nini. Kuna apps nyingine zinatumia IE tu, nyingine Mozila, nyingine any browser..
 
Pole mkubwa, web browser nyingi siku hizi zina matatizo. Lakini pia inategemeana na computer unayotumia. Mimi natumia Mac Book Pro na mwanzoni safari ilikuwa inafanya kazi vizuri lakini ikanigomea siku ya online interview nikaipoteza hiyo nafasi toka hapo natumia Google Chrome. Kuna rafiki yangu ana PC ya toshiba anasema angalau Google Chrome ina unafuu. Ni muhimu pia ku 'update' mara kwa mara. Natumaini wadau wengine wanaweza kukupa ushauri unaotofautiana na wangu hasa kutokana na uzoefu wa kutumia. Good Luck ndugu yangu
Google Chrome na Safari zinatumia injini moja, WebKit. Na FF na watoto wake wanatumia Gecko. Juu yake utakuta features na optimization. Sina uhakika Opera wanatumia injini ipi. Ni vema kujua architecture/underlying engine kuhukumu ipi ni bora!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom