Weapon of mass deception: The uses and abuses honesty in politics...

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Siasa za tanzaniaMambo ya jana bungen ni muendelezo wa siasa za majitaka (another silly season). Siasa ya tanzania imekuwa ikutumia njia ambazo sio sahihi kwenye majukwaa ya siasa na nje ya majukwaa ya kisiasa ikiwa ni njia ya kujipatia umaharufu. Sikutegemea msomi kwa mwigula nchemba (1st class economist) anaweza kutumia maneno yale kama lusinde, kwa mtu kama komba sitashangaa. Je kwa siasa hii tutafika promise land? Kama nchemba ambaye anajiita BOT-1st class economist, ndio aina za wachumi wetu basi sishangai kwanini uchumi wetu unarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Wasiasa wa tanzania hoja inajibiwa kwa hoja, hoja haijibiwa kwa matusi.
-CPA(T)-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom