we unaonaje hili?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
mi kwa maoni yangu nadhani umaskini tulionao tanzania licha ya mambo mengine ila umesababishwa sna na siasa za ujamaa za mwlm JK nyerere.maoni yko yakoje?
 
Sikubaliani na wewe, tangu tuliache Azimio la Arusha na mfumo wa ujamaa uliyokuwa
ndoto ya mwalimu. Hatuna maendeleo makubwa sana ya kiuchumi. Tena sasa tuko katika mfumo
wa kibepari japo hatukiri. Tumeshaanza kutawaliwa upya na mataifa makubwa - tunawaalika wawekezaji kila kukicha ambao wanajikita katika nyanja mbalimbali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom