We umewahi kupata?

ngoja nimjibu yule nlomweka pending, kumbe hii business inalipa eeh?
 
Za mahangaiko ya week ndugu zangu.. Kuna ujumbe nimepata katika email yangu nimeandikiwa na mdada nisie mjua na ye hanijui anasema kwamba YEYE NI MKENYA MTOTO WA WAZIRI WA BARABARA SASA BABA AKE AMEFARIKI KWA AJALI MDA UMEPITA KIDOGO SASA ANACHOTAKA NI MIMI NIMPE ACCOUNT NAMBA YANGU ATUME FEDHA AMBAZO BABA AKE AMEZIACHA KATIKA BANK MOJA IPO HUKO BURKINA FASO NA YE YUPO HUKO ANADAI MUNGU KAMWONYESHA KWAMBA MIMI NI MTU MWAMINIFU PIA ANASEMA HAWEZI KUTUMA KWA NDUGU ZAKE KWASABABU WALISHAANZA KUGOMBANIA MALI ZAKE NA WAMESHAMNYANG'ANYA MALI KABAKIWA NA HIZO FEDHA TU... NA SIO HIYO TU NINA NYINGINE KUTOKA BBC WANASEMA WALIKUA WANASHINDANO FULANI LINAITWA BBC LOTTERY (kama sijakosea) NAO WANASEMA NIMESHINDA WALIKUA WANASHINDANISHA EMAIL..sasa ndugu zangu nyie yamewahi kuwatokea haya?

Ha ha haaa!!! Ni wezi hao mkuu. Ukitoa tu account number imekula kwako.
 
Mwenzenu anaomba ushauri nyie mnaleta masihara, haya akijinyonga mtu mjiandae kujibu mashtaka. We unadhani usawa huu wa MKWELE mtu kutapeliwa hela yote kwenye account yake si atajitundika. Halafu ataacha ujumbe"nimejinyonga kwa kudanganywa na JF MEMBERS" unafikiri mtapona na rungu la Pilato nyie. Mwambieni ukweli kuwa hao ni matapeli aachane nao kabisa. Tamaa za kijinga na kutaka kutajirika bila kufight ndio kunapelekea matapeli ku take advantage ya kuwachukulia vyenu kiulaini.
 
Za mahangaiko ya week ndugu zangu.. Kuna ujumbe nimepata katika email yangu nimeandikiwa na mdada nisie mjua na ye hanijui anasema kwamba YEYE NI MKENYA MTOTO WA WAZIRI WA BARABARA SASA BABA AKE AMEFARIKI KWA AJALI MDA UMEPITA KIDOGO SASA ANACHOTAKA NI MIMI NIMPE ACCOUNT NAMBA YANGU ATUME FEDHA AMBAZO BABA AKE AMEZIACHA KATIKA BANK MOJA IPO HUKO BURKINA FASO NA YE YUPO HUKO ANADAI MUNGU KAMWONYESHA KWAMBA MIMI NI MTU MWAMINIFU PIA ANASEMA HAWEZI KUTUMA KWA NDUGU ZAKE KWASABABU WALISHAANZA KUGOMBANIA MALI ZAKE NA WAMESHAMNYANG'ANYA MALI KABAKIWA NA HIZO FEDHA TU... NA SIO HIYO TU NINA NYINGINE KUTOKA BBC WANASEMA WALIKUA WANASHINDANO FULANI LINAITWA BBC LOTTERY (kama sijakosea) NAO WANASEMA NIMESHINDA WALIKUA WANASHINDANISHA EMAIL..sasa ndugu zangu nyie yamewahi kuwatokea haya?

Mpe uone cha mtema kuni!
 
Nshatumiwa. Email za aina hiyo kama kumi hivi... Chale za kwenye pu**u zikanchezaga toka first tym nikabullshit,.. Hadi nlivyokuja kuckia kuwa jamaa ni majizi tena email zote ni za. WABURKINA FASO...
PUMBAV ZAOO
 
Back
Top Bottom