we umetumwa,unawezaje kuingiza ukashindwa kutoa,ni majibu niliyopewa customer care toka tigo!!!!!!!!

Hao tiGO ndo kawaida yao. Afu huwa wanaboa kama salio lako linaisha, wanatuma msg tano tano mpaka shida yani. Na hiki kiMEGABOKSI chao ndo kinakera, ukiunganisha siku mbili wanaifanya iwe automatic. wtc!! Wameshiba hawa.Sina hata Imani sana na TCRA. nao walewale tu, vinginevyo wangedeal na hivi ving'amuzi vimeo kwanza.
 
Back
Top Bottom