We supply Mchanga,kokoto,mawe,kifusi ,cement

sirdelta

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
306
82
Hello guys karibuni tuwahudumie vyote hapo juu ... U can either buy and we transport for you or let us supply you all ur need ...at our best negotiable price
Contact us on +255715041210
Karibuni
 
Nahitaji lori kumi za kokoto na mchanga laini lori kumi na tano nipo hapa mkanada karibu na vumilia Bar wanapouza kitimoto, ukifika ulizia Cosmas nafahamika
 
Mkuu ungetaja price zako,upo wapi? Taja bei ya mchanga,cement,kokoto,nondo(12,16mm) nk,una-supply dar au arusha?
 
kweli mkuu tangazo lako halielewek!weka bei,mchanga tani 7,10 au 18,kama uko dar unasema wa mbagala,au wa mpigi?na hizo kokoto za msolwa,za kigamboni,au za kunduchi?funguka mkubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom