We nidanganye danganye tu

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
ni vizuri kufahamu ukweli ila ukweli unauma siku zote mi naona heri ndanganywe napendwa ,nathaminiwa lakini nicufahamu ukweli je wewe unapenda nini,kufahamu ukweli au kuongopewa ukiamini ndivyo
 
Wewe kwa nini uongopewe? Pole sana huyo anayekuongopea ujue hakupendi kwa dhati bali anakutumia kama kiburudisho tu. Sisi tunaowapenda kwa dhati hatuwaongopei asilani
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kaaazi kweli kweli.

Usijali maana wadanganyaji ndio wanaoijaza dunia!!!
 
ni vizuri kufahamu ukweli ila ukweli unauma siku zote mi naona heri ndanganywe napendwa ,nathaminiwa lakini nicufahamu ukweli je wewe unapenda nini,kufahamu ukweli au kuongopewa ukiamini ndivyo

That depends Mi Lady,
Una kifua kiasi gani cha kuchukuliana(cope with) dissapointments?
Kwa kweli wengi hawana uwezo mkubwa wa kuvumilia maumivu ya kuface reality

Kwa mfano: Unapokunywa Pain killers(Panadol, asprin ) You are actualy not healing anything but lying to your brain that there is not pain which if fact there is...hadi pale mwili wako unapoheal wenyewe..

So naunga mkono hoja : Sometimes its better to be kept from the truth...
 
Uongo ukiaminiwa unaleta faraja kwa wote wawili. Anaedanganya anafurahi kuona kamba zake zimekubaliwa, na anaedanganywa anaridhika kwa kuamini kuwa aidha ndio ukweli au ni uongo lakini hana njia ya kuthibitisha. Anabaki kuhisi labda ndo ukweli. Namna hiyo amani inakuwepo, maisha yanasonga mbele. Ukweli ktk mapenzi uko wa aina mbili. Ukweli unaopendeza na ukweli unaoumiza. ukweli unaoumiza haufai. Bora mtu akudanganye ili usiumie. Ktk maisha ya mapenzi hakuna mtu anaekuwa mkweli 100% kila siku.
 
Mi napenda kuambiwa ukweli hata kama unauma some day i will get over it..hata kama ukidanganywa mwisho wa siku ukweli utajulikana na itakua too late bora kuujua ukweli mapema uamue kusuka au kunyoa..
 
Uongo ukiaminiwa unaleta faraja kwa wote wawili. Anaedanganya anafurahi kuona kamba zake zimekubaliwa, na anaedanganywa anaridhika kwa kuamini kuwa aidha ndio ukweli au ni uongo lakini hana njia ya kuthibitisha. Anabaki kuhisi labda ndo ukweli.

Namna hiyo amani inakuwepo, maisha yanasonga mbele. Ukweli ktk mapenzi uko wa aina mbili. Ukweli unaopendeza na ukweli unaoumiza. ukweli unaoumiza haufai. Bora mtu akudanganye ili usiumie. Ktk maisha ya mapenzi hakuna mtu anaekuwa mkweli 100% kila siku.

Usanii usanii tu sio....hakuna ukweli?
 
ni vizuri kufahamu ukweli ila ukweli unauma siku zote mi naona heri ndanganywe napendwa ,nathaminiwa lakini nicufahamu ukweli je wewe unapenda nini,kufahamu ukweli au kuongopewa ukiamini ndivyo
bora kujua ukweli kuliko kudanganywa
mm napendelea ukweli siku zote hata kama unaumaje
 
Ukizoea kudanganywa.... siku ikiwa ni kweli utasemaje? Mfano jamaa anakwambia hana mtoto nje...Kumbe anae.. baadae ukajua anae...Utajisikiaje??
 
Kasheshe inakuja pale utakapoujua ukweli utachanganyikiwa..
Ukweli ni mzuri hata kama unauma vip
 
ni vizuri kufahamu ukweli ila ukweli unauma siku zote mi naona heri ndanganywe napendwa ,nathaminiwa lakini nicufahamu ukweli je wewe unapenda nini,kufahamu ukweli au kuongopewa ukiamini ndivyo

We nimuongo hakunam2ambaehapendi kujuaukweliktk mapenzi so wweunavyosema heriudanganywe unapendwa niuongo, back wweutkua
 
ni vizuri kufahamu ukweli ila ukweli unauma siku zote mi naona heri ndanganywe napendwa ,nathaminiwa lakini nicufahamu ukweli je wewe unapenda nini,kufahamu ukweli au kuongopewa ukiamini ndivyo

We nimuongo hakunam2ambaehapendi kujuaukweliktk mapenzi so wweunavyosema heriudanganywe unapendwa niuongo, bac wweutakuanibinadamu watofauti,
 
halaf wabongo nimestukia ukiwapa ukweli kwa kiswahili tu ndio wanachukia lakini kwa kiingereza utawaona wanachekacheka tu na kukubali.

Kuna kadada kaliambiwa na mchumbaake "nina mtoto nje" bas kadada kalikuja juuu hako mpaka ikawa balaa, jamaa akailudia sentensi ile ile kwa kiingereza "I meant I have a kid outside Africa" basi kadada kakaanza kutabasam halaf kakaongezea "Haani jamani, mtoto wako si ndo mtoto wetuuu, yaani nilikasirika tu kwamba suala kama hili sio la kujadili ni la kuniambia tu, mi kwetu nimefundwa hata kulea watoto wa kufikia/kambo"

Wizi mtupu
 
Back
Top Bottom