We mwanamke gani kila siku maharage tuuuu, ukibadirisha sana tembele.............!!

mbu sisi watu wa mwambao pale tunapata maana nyengine kabisa amabyo haihusiani na chakula hichi cha kawaida....

suali kwa mama: hivi hukufundishwa namna ya mapishi tofauti huko kwenu mpaka usubiri mume akufundishe?

inaonyesha mume kachoka kusubiri ufundi nyumbani kajiamulia kuufata nje ....biriani, pilau, samaki wa kupaka, bata wa kuchoma, ......hehehe

kazi kweli kweli

Lakini yeye mume kapewa pande lake, kila siku ndizi choma haina hata chachandu.....kwa hiyo si bibie tu alokuwa monotonous hata huyo baba mwenyewe alishiwa maufundi lol!!
 
bht ......bwana kachoshwa na maharage tuu akaamia bora ndizi choma bila chachandu! muahahaha

hisani ya watu wa marekani itatutokea puani mwaka huu.
 
mbu sisi watu wa mwambao pale tunapata maana nyengine kabisa amabyo haihusiani na chakula hichi cha kawaida....

suali kwa mama: hivi hukufundishwa namna ya mapishi tofauti huko kwenu mpaka usubiri mume akufundishe?

inaonyesha mume kachoka kusubiri ufundi nyumbani kajiamulia kuufata nje ....biriani, pilau, samaki wa kupaka, bata wa kuchoma, ......hehehe

kazi kweli kweli

Ahsante kwa hilo angalizo dada, oups sore, mwalimu wangu Gaijin! Sasa sina mashaka tena na weledi wako wa lugha ya taifa! Ofkozi na yale mambo mengine flani flani:lol:
 
bht ......bwana kachoshwa na maharage tuu akaamia bora ndizi choma bila chachandu! muahahaha

hisani ya watu wa marekani itatutokea puani mwaka huu.

haaaaa sasa si amfundishe samaki wa kupaka

''unajiona mjanja kila siku ukitoka baa unakuja na ndizi choma.....'' lol

watu wa 'merekani' wana balaa haya yamewafikaje?
 
Ahsante kwa hilo angalizo dada, oups sore, mwalimu wangu Gaijin! Sasa sina mashaka tena na weledi wako wa lugha ya taifa! Ofkozi na yale mambo mengine flani flani:lol:

mambo mengine flani flani eeeeeh! ..............huko asprin umefika wewe
 
kinachotakiwa ni 'creativity' na 'innovation' na 'be well informed' kwa pande zote mbili!!
 
tupunguze ukimya kuwa wazi na mwenzako. sio kulumbana, maneno ya kebehi kumbe kunalinalokukwaza, kaaziii kweli kweli.

lkn hili tangazo sasa,mmmmm:nono::nono::nono:
 
tupunguze ukimya kuwa wazi na mwenzako. sio kulumbana, maneno ya kebehi kumbe kunalinalokukwaza, kaaziii kweli kweli.

lkn hili tangazo sasa,mmmmm:nono::nono::nono:

ndo hapo sasa.............
 
mambo ya uswazi si wote wanaoyaweza !!!
...Dah! Haya mambo ni balaa niliwahi kukuta jamaa anazozana na demu wake si unajua mambo ya uswazi...kashfa kwa kwenda mbele...aliponimaliza yule dada ni pale alipomwambia jamaa hivi na wewe unajihesabu ni mwanaume? mwanaume gani wewe huku akimuoneshea kidole kidogo cha mwisho cha mkono (ikimaanisha) jamaa kakifaa ni kaduchuuuuu..mwisho akamalizia " mwanaume ni kudandia tu na kutwanga".....nilibaki nimeduwaa...nikaja kusikia jamaa mwenyewe anatokea mgombani...tehhh! tehhh!:attention::attention::attention:
 
Back
Top Bottom