We mwanamke gani kila siku maharage tuuuu, ukibadirisha sana tembele.............!!

wamarekani wanatufundisha kuwa wawazi kwa wenza wetu. Mama anasema 'we kila siku ndizi choma tuu! Hata chachandu hamna. Yaani jamaa akitaka mechi basi anachomeka 'ndizi' yake kwa mkewe bila maufundi wala kupiga jaramba (warm up)

babu zetu walitufunza kwamba unapocheka na mkeo angalia usicheke hadi magego yakaonekana.kazi kwetu
 
mi nipo zaidi kwenye content...wanamaanisha nini? ni lugha ya picha au

maana mwanaume anasema 'we mwanamke kila siku ni maharage tuuu, ukibadili sana tembele'.....mwanamke anamjibu..."na weye, kama unataka samaki wa kupaka si unifundishe namna ya kupika huyo samaki wa kuoaka?" hapo mni baada ya 'mwanaume kutoka baa na ndizi choma bika chachandu'

nadhani tuanzie hapo

Yaani B jibaba kila likirudi home haliji na style mpya ya kula 'cha usiku' ile ile tu kumbe inamchosha mama mpika maharage kwa wali pia.

mi naelewa kuwa nyie wanandoa nyie muambiana 'mnatakaje kula ile kitu ile' sio kunyamaza tu mwishowe watu wanaenda kufanya makatazo na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI
 
sadly Yes FL1, kama alivosema mmojawapo hapo juu, naona hadi kwenye mahusiano inabidi tufundishwe namna ya kula ndizi na chachandu na pia samaki wa kupaka...

wenyewe wanasema kuvunja ukimya.....sasa ninachoogopa huu ukimya tukiuvunja na kutaka samaki wa kupaka na ndizi za chachandu......
Natamani kuelewa ila sielewi jamani nisaidieni nielewe
 
......
....wenyewe wanasema kuvunja ukimya.....sasa ninachoogopa huu ukimya tukiuvunja na kutaka samaki wa kupaka na ndizi za chachandu......
hahaha hommie "Don't try this at home"............:pray:.
 
Yaani B jibaba kila likirudi home haliji na style mpya ya kula 'cha usiku' ile ile tu kumbe inamchosha mama mpika maharage kwa wali pia.

mi naelewa kuwa nyie wanandoa nyie muambiana 'mnatakaje kula ile kitu ile' sio kunyamaza tu mwishowe watu wanaenda kufanya makatazo na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI
Nahisi kama tunapewa kibali cha kupiga infidelity, otherwise hayo ma new styles tutayapatia wapi? Infidelity hoyeeeeee!
 
hahahaha...B wewe unajua kupika samaki wa kupaka au unaishia kwenye wali maharage tu ukibadili sana tembele?:sleepy:
 
Nahisi kama tunapewa kibali cha kupiga infidelity, otherwise hayo ma new styles tutayapatia wapi? Infidelity hoyeeeeee!

hommie umesahau kama hiyo ipo to stay..wao wanajaribu kuipunguza...kwa kutumia hypothesis kwamba watu wanapiga infidelity kwa vile hawazungumzi na wenzi wao-ze mshikiz........so wanavunja ukimya.....hahahahaha.......kwen infidelity kuna kila kitu

hivi hommie...haiwezekani kupiga infidelity na mshikiz?
 
hahahaha...B wewe unajua kupika samaki wa kupaka au unaishia kwenye wali maharage tu ukibadili sana tembele?:sleepy:

weee B jiangalie!!! hapa fulu mahanjumati, akitoka analo litakalo mtoa lakini siachi loop holes

hahaaaa lol!!!

btw: wewe si ndo ulishiriki kwenye hilo tangazo msaidie Salha basi aelewe au weka 'audio' lol!!!
 
hommie umesahau kama hiyo ipo to stay..wao wanajaribu kuipunguza...kwa kutumia hypothesis kwamba watu wanapiga infidelity kwa vile hawazungumzi na wenzi wao-ze mshikiz........so wanavunja ukimya.....hahahahaha.......kwen infidelity kuna kila kitu

hivi hommie...haiwezekani kupiga infidelity na mshikiz?

Hommie hayo ni masuala ya kimila. Ngoja nimwendee hewani meku mtaveta a do the needful!
 
...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.

Mzee Mwanakijiji, where are you???

mbu sisi watu wa mwambao pale tunapata maana nyengine kabisa amabyo haihusiani na chakula hichi cha kawaida....

suali kwa mama: hivi hukufundishwa namna ya mapishi tofauti huko kwenu mpaka usubiri mume akufundishe?

inaonyesha mume kachoka kusubiri ufundi nyumbani kajiamulia kuufata nje ....biriani, pilau, samaki wa kupaka, bata wa kuchoma, ......hehehe

kazi kweli kweli
 
Mi sijaelewa hapo.......!

utaelewaje bila kushtua???

Konsepti mbele ya tangazo

haya mpo wengi

Nahisi kama tunapewa kibali cha kupiga infidelity, otherwise hayo ma new styles tutayapatia wapi? Infidelity hoyeeeeee!

kibali na nani na wamarekani?? si muende training?? vyuo viko Bagamoyo

halafu umetokea gest gani asiee......duh...ndo maana kichwa bado kina hang'over

afadhali
 
Back
Top Bottom