We mwanamke gani kila siku maharage tuuuu, ukibadirisha sana tembele.............!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna hili tangazo la redioni kutoka hawa jamaa wa championi kuhusu kichagizo cha mawasiliano miongoni mwa wanandoa huwa linanifurahisha sana. Hata hivyo, kuna angalizo nimegundua kuwa yule mama kwenye lile tangazo alikuwa na kasi ya ajabu katika kuongea ukilinganisha na mumewe. Hivi hii ina maana kuwa wanawake kwenye mabishano huwa wengi wa maneno kuliko wanaume??!!!!:crazy::crazy:
 
mi nipo zaidi kwenye content...wanamaanisha nini? ni lugha ya picha au

maana mwanaume anasema 'we mwanamke kila siku ni maharage tuuu, ukibadili sana tembele'.....mwanamke anamjibu..."na weye, kama unataka samaki wa kupaka si unifundishe namna ya kupika huyo samaki wa kuoaka?" hapo mni baada ya 'mwanaume kutoka baa na ndizi choma bika chachandu'

nadhani tuanzie hapo
 
mmh wakwetu....yule baba ni weye nini?....mbona kama tangazo lote umelikariri?
 
Mikakati ya kudhitibi ukimwi ilikuwa inashindwa. Wakagundua kuwa kumbe wlisahau kitu kimoja kinachochochea zaidi ukimwi,,, mahusiano ndani ya nyumba. Labda huyu jamaa amelielewa Tangazo vema,,
 
mi nipo zaidi kwenye content...wanamaanisha nini? ni lugha ya picha au

maana mwanaume anasema 'we mwanamke kila siku ni maharage tuuu, ukibadili sana tembele'.....mwanamke anamjibu..."na weye, kama unataka samaki wa kupaka si unifundishe namna ya kupika huyo samaki wa kuoaka?" hapo mni baada ya 'mwanaume kutoka baa na ndizi choma bika chachandu'

nadhani tuanzie hapo

...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.

Mzee Mwanakijiji, where are you???
 
Wamarekani wanatufundisha kuwa wawazi kwa wenza wetu. Mama anasema 'we kila siku ndizi choma tuu! Hata chachandu hamna. Yaani jamaa akitaka mechi basi anachomeka 'ndizi' yake kwa mkewe bila maufundi wala kupiga jaramba (warm up)
 
Ishu hapo ni "samaki" a.k.a pole samaki.
Wengine humu huwa mnajidai kupondea. Kwa hisani ya wamerekani wameshtua sasa.
 
Mleta thread anataka kufahamu je kwenye mabishano kati ya mwanaume na mwanamke nani anaongea kwa kasi zaidi na maneno mengi? Wataalamu wa lugha walikwisha tafiti masuala ya jinsia na lugha hasa kwenye mazungumzo (conversation) na kugundua kuwa wanawake wanaongea maneno mengi katika mada fulani na wanaume maneno machache sana; pia mara nyingi wanaoanzisha, kuongoza, au kubadili na kufunga mada katika hawa wawili ni mwanaume.

Kama unatilia shaka matokeo ya utafiti huu fanya observation - participant or non participant. Tena majibu mazuri yako huko uswazi, sasa sijui na elimu na ugumu wa maisha unamfanya mwanamke kuongea sana! Au hesabu maneno yaliyo kwenye mstari wa mwanaume na mwanamke kwenye hilo tangazo (10 kwa 16) na aliyeanzisha mada ni mwanaume. Tukipata teknolojia ya computer ya kurekodi 'ball possession kwenye mpira wa miguu, inaweza kutusaidia "words production and time taken" katika mazungumzo kati ya Adam na Eva!
 
...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.

Mzee Mwanakijiji, where are you???

ha ha ha hivi na hili tangazo ni kwa hisani ya watu wa Marekani?
 
...Ujumbe kwenye tangazo unaeleweka vizuri tu ingawa tafsida
iliyotumika huenda ikawa inawapa tabu watu wengine lakini kubwa nililokuwa najaribu kuangalia ni kwa jinsi gani yule mwanamke alivyomjibu mumewe kwa maneno mengi na kwa kasi sana ukilinganisha na mwanaume. Imenifanya kuamini ule msemo kuwa katika mazungumzo kati ya he/she siku zote akina mama ni waongeaji sana mambo ambayo katika mahusiano mengi hupelekea ugomvi..........FL1 unasemaje?? najua wewe uko kool kidogo au na wewe una maeneo yako??
 
...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.

Mzee Mwanakijiji, where are you???

Mkuu Mbu klila nikisikiliza nakumnbukia nahau za kiswahili enzi hizo...labda mzee MMM aje hapa lakini si mpaka uchaguzi uishe ndo atapita huku?
 
mmh wakwetu....yule baba ni weye nini?....mbona kama tangazo lote umelikariri?

Hebu ntake radhi ina maana mi nakujiaga na ndizi kavu bila chachandu? si ungeshaepusha msongamano? LOL
 
ha ha ha hivi na hili tangazo ni kwa hisani ya watu wa Marekani?

sadly Yes FL1, kama alivosema mmojawapo hapo juu, naona hadi kwenye mahusiano inabidi tufundishwe namna ya kula ndizi na chachandu na pia samaki wa kupaka...

wenyewe wanasema kuvunja ukimya.....sasa ninachoogopa huu ukimya tukiuvunja na kutaka samaki wa kupaka na ndizi za chachandu......
 
cjaelewa kitu yaani nimetoka mtupu kabisa....
 
Ishu hapo ni "samaki" a.k.a pole samaki.
Wengine humu huwa mnajidai kupondea. Kwa hisani ya wamerekani wameshtua sasa.
...Dah! Haya mambo ni balaa niliwahi kukuta jamaa anazozana na demu wake si unajua mambo ya uswazi...kashfa kwa kwenda mbele...aliponimaliza yule dada ni pale alipomwambia jamaa hivi na wewe unajihesabu ni mwanaume? mwanaume gani wewe huku akimuoneshea kidole kidogo cha mwisho cha mkono (ikimaanisha) jamaa kakifaa ni kaduchuuuuu..mwisho akamalizia " mwanaume ni kudandia tu na kutwanga".....nilibaki nimeduwaa...nikaja kusikia jamaa mwenyewe anatokea mgombani...tehhh! tehhh!:attention::attention::attention:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom