We must be ready to lose more mwangosis

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Tanzanians are now striving to move to the next stage of total democracy. This is our right but we have to remember it has something to do with "change". Fighting for change is not an easy task since the system may also be against it. I am not sure if Tanzanians are ready for any hazardous situation which may arise. (Genocide etc) why noise then losing Mwangosi!!! same could happen to you or me. Lets look at Syria, Libya, Iraq and other African countries and ask ourselves if we are ready for "CHANGE" or NOT.
 
Nakubali kuwa inawezekana wakaendelea kuuwa lakini kwa style ya "kimabwepande" zaidi maana ya polisi nyongo ishaingia.Ila ninauhakika ukishakunywa damu huwezi acha tena,ccm hatakuwa na njia zaidi ya kuanzisha machafuko.I can't see how they won't do it.
 
Polisi na usalama wa taifa wataendelea na ka mchezo haka kwa staili mbali mbali. Kwa siri na ikishindikana wazi wazi. Unajua kinachoendelea Iringa ni delaying technique ili hasira za watu zipungue?. Tungelipuka kitunisia hili tukio lingezuia mengine. Lakini sasa mimi na wewe tuko njiani!
 
Mwalimu Nyerere in his wisdom saw all this coming way back in 1966 when he said " SIKU INAKUJA AMBAPO WATU WATACHAGUA KIFO KULIKO FEDHEHA; NA OLE WAO WATAKAOIONA SIKU HIYO! NA OLE WAO WALE WATAKAOIFANYA SIKU HIYO ISIEPUKIKE! NATAMANI NA KUSALI KUWA SIKU HIYO KAMWE HAITAFIKA"

Kama siku kama hii aliyoitabilia mwalimu itafika nchini basi lawama zote zitabebwa na Jakaya Mrisho Kikwete kwani ana uwezo wa kukomesha virutubisho vyote vinavyokoleza machafuko nchini mwetu na hasa ukandamizaji wa vyombo vyake vya dola dhidi ya wananchi.
 
Back
Top Bottom