A Audax JF-Expert Member Mar 4, 2009 442 12 Dec 11, 2010 #2 hii katuni ni nzuri saana, jamani mafataki balaa
WiseLady JF-Expert Member Jan 22, 2010 3,268 531 Dec 11, 2010 #3 Duh!mafataki wataisha lini jamani,,watoto wenyewe nao wamekuwa na tamaa kupita kiasi!
Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 Dec 11, 2010 #4 mhh Paka nasikia ni ww:teeth::teeth::teeth:
Zipuwawa JF-Expert Member Nov 28, 2010 3,051 653 Dec 11, 2010 #5 hii katuni ni kali hilo FATAKI hapo mpaka Udenda! Hizo pesa na Simu zitaweza kumpoteza kabisa huyo mtoto ambaye yeye anawaza Masomo tu
hii katuni ni kali hilo FATAKI hapo mpaka Udenda! Hizo pesa na Simu zitaweza kumpoteza kabisa huyo mtoto ambaye yeye anawaza Masomo tu
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,634 4,519 Dec 11, 2010 Thread starter #6 Maria Roza said: mhh Paka nasikia ni ww:teeth::teeth::teeth: Click to expand... We nichokoze tu,kwanza umesoma ujumbe niliokuachia kule kwa jamaa anayetaka kuchakachua mkwe wa rafiki yake?
Maria Roza said: mhh Paka nasikia ni ww:teeth::teeth::teeth: Click to expand... We nichokoze tu,kwanza umesoma ujumbe niliokuachia kule kwa jamaa anayetaka kuchakachua mkwe wa rafiki yake?
G Gad ONEYA JF-Expert Member Oct 26, 2010 2,630 168 Dec 11, 2010 #7 Jiulize hiyo midola kaipata wapi?Any way hapa kinaangaliwa kinachoonekana tu! dolari
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,443 Dec 12, 2010 #8 Kwanni uende darasani wakati USD za bure zipo?
mmiy Member Oct 2, 2010 27 0 Dec 13, 2010 #13 Maria Roza said: mhh Paka nasikia ni ww:teeth::teeth::teeth: Click to expand... Bibie laiti ungebahatika kumuona Paka Mweusi wala usingemdhania hayo...
Maria Roza said: mhh Paka nasikia ni ww:teeth::teeth::teeth: Click to expand... Bibie laiti ungebahatika kumuona Paka Mweusi wala usingemdhania hayo...
Kigogo JF-Expert Member Dec 14, 2007 20,508 6,146 Dec 13, 2010 #14 na blackberry juu...hahaa mambo ya facebook full time,juu ya nini kusomaga madarasa pasi kumalizaga wakati mafaranga yapo
na blackberry juu...hahaa mambo ya facebook full time,juu ya nini kusomaga madarasa pasi kumalizaga wakati mafaranga yapo